Utanikuta Onlineuje chap
Bale haachwi mkuu yani hatimae natarajia kumiliki blitz curler ๐hivo aiija tutapita naye๐๐ซฐ
uje chap
Siku hizi matokeo mnachoma moto au maana hayaji kabisa humu.Utanikuta Online
Muhimu.tunaleta
Siwezi kuwa mchoyi wa fadhila kiasi hicho kwa Konami ๐for free๐
Bado๐๐mkuu vipi umemuona au bado๐ค
Wawekee ratiba status ili wajue kuna muda unakuwa busy na kazi(eFootball) ๐Nikapigiwa simu mzee wakati tangu asubuhi hakuna mtu aliyenipigia ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Tuwe tunaspine kama Edo kissy kanisani Jumapili muda wa maombi๐คฃ๐คฃTusiwe tunafuta zile text za ndagu ๐
Tuludnimeshinda 2 kwa 1 game ya kwanza๏ผnlisahau kuscreenshot๏ผ
game ya pili amenifunga moja ila mtandao wake umezingua gatijafika hata half time