eFootball Special Thread

Wajuu nisaidieni hapa yupi aanze na yupi awe mbadala kati ya Camavinga na Amrabat, mapenzi yangu yanaangukia kwa Camavinga ila nahitaji ushauri tactically.

Amrabat stats(B2B)







Camavinga stats(B2B)






Benchi la ufundi njoeni mtoe mawazo yenu kisha kocha mkuu nitayapitia na kufanya uamuzi ๐Ÿ˜‚

NB: Naona Camavinga ana stats nzuri kwa ujumla tofauti na Amrabat ambaye yupo vizuri zaidi kwenye defence, nasubiri maoni yenu.
 
Amrabat mkuu anakaba mno๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ defensive awareness 98
 
Amrabat mkuu anakaba mno๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ defensive awareness 98
Toa mawazo kimbinu bhana siyo kwakuwa anakusumbua tukikutana ๐Ÿ˜‚

Umeangalia defensive peke yake wakati mie nataka uchambuzi wa jumla ๐Ÿ˜‚
 
Toa mawazo kimbinu bhana siyo kwakuwa anakusumbua tukikutana ๐Ÿ˜‚

Umeangalia defensive peke yake wakati mie nataka uchambuzi wa jumla ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒWakabaji kwako ni wangapi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ