eFootball Special Thread

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Ety Kali balaa๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚
 
Razorblade Ukiona sipo huku nshtue hata normal ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒkwa namba ya Tayana wog yako si unaitunza kama sukari yao๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Oya mbona umecheza QC badala ya LBC sasa?
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒWakati game inaanza ulitoa Qc ukaweka LBC

Sasa LBC kwa LBC long balls hazifanyi kazi maana backline inakuwa nyuma sana ndo maana ikabid nicheze pass fupi
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒWakati game inaanza ulitoa Qc ukaweka LBC

Sasa LBC kwa LBC long balls hazifanyi kazi maana backline inakuwa nyuma sana ndo maana ikabid nicheze pass fupi
Hamna LBC niliweka kabla hatujaingia uwanjani maana tayari ulisema tucheze LBC, settings nilienda kuzima smart assist.

Au wewe ulitaka utumie LBC mie nitumie QC?
 
Hamna LBC niliweka kabla hatujaingia uwanjani maana tayari ulisema tucheze LBC, settings nilienda kuzima smart assist.

Au wewe ulitaka utumie LBC mie nitumie QC?
Niliangalia tulivyoingia room ilikuwa Ni QC then ulivyopiga pause nikaangalia nikaona LBC nikasema hapa sawa๐Ÿ˜ƒ


Lakin huu ndo mchezo wangu hata niweke possession game Qc ndo itachezwa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Kumbe ulizima smart assist๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Ndiyo niliweka LBC sasa nashangaa wewe unapiga vipasi vyako ๐Ÿ˜‚

Wakati nacheza event niliwasha ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ