Hongera sana aseee๐๐pale mbele pamoto sasaNimempata puskas na yilmaz aiseh
KWa hii ya LBC Pila kazi ni gumu sema nitaimaster tuuMimi nimeweka gradual increase. Ukifika 1500 rating cheza pira kazi๐
Simu ina asilimia 3 ila kesho usiku tukiwashe๐KWa hii ya LBC Pila kazi ni gumu sema nitaimaster tuu
Kama upo twende nikatest mitambo ๐๐ ya LBC
Sawaa sawaa mkuuSimu ina asilimia 3 ila kesho usiku tukiwashe๐
hahaha namfanyisha mazoezi kaka...kabla hatujaingia dvn.....nna yamal pia na kimmich naona kikosi kinakuwa....Kandambili1 naona umempata Puskas kaka๐๐๐โ hongera sanaView attachment 3401772
Komaa kaka ๐hahaha namfanyisha mazoezi kaka...kabla hatujaingia dvn.....nna yamal pia na kimmich naona kikosi kinakuwa....
Gradually itaniuaKwa upande wangu Gradually kaka.
Umeanza bhngi za maghayoHaina noma, aki jaa apasuke to
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Niazime basi ile ya SergioSiuzi kitu ๐
Wamaijeria hawajui game ๐ endelea kuganda Wabongo ndo watakuuaGradually itaniua
Oya ndebile punguza wenge jingiUmeanza bhngi za maghayo
Ile acc saivi sichezei sana, nimeifikisha division 1 nikaachana nayo nikipiga penati natoka ๐ nampenda Szobozlai kishenz๐คฃ๐คฃ๐คฃ Niazime basi ile ya Sergio
Komaa kaka ๐
Wabongo naona kama nawamudu hiviWamaijeria hawajui game ๐ endelea kuganda Wabongo ndo watakuua