Embu kampange tumwone account zako zote hayupo๐คฃ๐คฃ๐คฃIvi hakuna tajiri humu aliyempata Pele au ndio nipo peke yangu๐๐
Unatafuta tu sababu ya kutunza coin ๐คฃ๐คฃ๐๐๐ Uongooo
Huwa namuweka Saka.Edo kissy Mkuu kwa ushauri wangu Fullback stamina inabid awe nayo kuanzia 90 plus huyu Marquinhos kama hana 80 ni 79 second half anakuwa hoi sana ๐๐tafuta tu RB mwingine kuna Kimmich pale yupo vizuriView attachment 3401775
Semaa LBC ni kama mabeki hawachoki hivi wanaochoka ni ma striker ila ingekuwa kwenye Quick Counter ๐๐๐second half mtu anasoma RedHuwa namuweka Saka.
Nzuri sana kwenye kukaba ila naona kama Long Balls inanisumbuaWanachoka mkuu๐ vipi umeionaje LBC
Sasa shida ya Long Balls beki hazitoki๐๐๐yale mapass ya Guardiola yanaishia kwa Kim min jae na Bastoni...Ipo vizuri mkuu,
Sema mwenyew Kuna mda naonag jau inafaa sana kwa Haram football ukiijulia vizuri ๐
WTF๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nimeghairi ile pack ya Messi, nazijaza kusubiria pack mpya.Me nimenunua kocha jana 500๐๐๐ 200 nikaspine kwa akina pele na mia nikaspine pale kwa POTW๐๐๐
Ni kauli mbiu yako lakini ๐Washanigeuza kenge kaka๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Tusibiri tu mpya kaka hakuna namna๐๐๐me na wewe wachezaji tutawapata kwa coin nyingi sanaNimeghairi ile pack ya Messi, nazijaza kusubiria pack mpya.
Sio yangu ya Negan๐คฃ๐คฃ๐คฃNi kauli mbiu yako lakini ๐
Now natafuta kocha mzuri wa QC niijaribu nayoSasa shida ya Long Balls beki hazitoki๐๐๐yale mapass ya Guardiola yanaishia kwa Kim min jae na Bastoni...
Ila ingekuwa mtu wa QC au possession Game zile zote owen anawatoka mabeki