eFootball Special Thread

Ila dharau mbaya sana jana nimepigwa 0-2 kwenye event ya PvP kizembe sana ๐Ÿ˜‚

Nilikutana na mtu binafsi niseme kwa level yangu bado anasubiri, nilikuwa nafika kwenye box lake kabla ya wachezaji wake halafu badala ya kushinda nikawa napiga tu pasi ndani ya box akifika anapokonya mpira anabutua mbele ๐Ÿ˜‚

Kilichonikuta sasa kapata nafasi 2 kwa uzembe wangu ndo hizohizo kazitumia, kwenda kuangalia eti yupo dvn 2 nikawa najiuliza amevukaje dvn 3 kwa mchezo ule ๐Ÿ˜‚
 
Kavuka Kama hivyo Sasa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mzaha mzaha hutumbua Usaha
 
Coach Playstyle ni Possession Game ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Me ninachocheza ni Quick Counter Pro max mode๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Yan kila mechi ni mvurugano tuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
majukumu yanabana lakini bado napambana.....dvn 3 naona wote wana 100+ kwenye vikosi vyao
 
game karibu 6 nilizopoteza hizi ni sababu jamaa wanavikosi vikubwa naanza kuwafunga lakini wananiletea kina etto na batistuta
 

Attachments

  • Screenshot_2025-07-08-21-09-00-863_jp.konami.pesam.jpg
    367.9 KB · Views: 19
Ila kuna watu wanakera sana yani events unaweza cheza hata mara 1000 lakini mtu anaingia tu uwanjani anakuwashia ultra defensive ๐Ÿ˜‚
Kazi kazi babu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃkikubwa ushindi twende mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ