eFootball Special Thread

Hawa jamaa ukifungwa wana rudisha point kwa sifa asee๐Ÿ˜น div 1 inakua shuhuli, nime weka search iwe near by only ili nikutane na wabongo niwakande
View attachment 3396790
Wabongo ndo wakamiaji bora ukutane na Wakenya kule muda wowote kinawaka huenda hata anacheza game kwenye maandamano ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ