eFootball Special Thread

Ukazan hii ni Efootball utaingia bila DMF na utashinda๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Ukazan hii ni Efootball utaingia bila DMF na utashinda๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Mkuu huenda ningekomaa ningetoboa, kabla ya mtihani kichwa kilikuwa kinagonga balaa mpaka wakawa wananitafutia panadol ๐Ÿ˜‚

Matokeo yanakuja kutoka ni alama 3 tu ndo zimenipa sup, niliumia roho ๐Ÿ˜‚
 
Mkuu huenda ningekomaa ningetoboa, kabla ya mtihani kichwa kilikuwa kinagonga balaa mpaka wakawa wanajitafutia panadol ๐Ÿ˜‚

Matokeo yanakuja kutoka ni alama 3 tu ndo zimenipa sup, niliumia roho ๐Ÿ˜‚
Pole sana me nilisup mwaka wangu wa mwisho chuo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃnilikata adi rufaa mzee kupinga๐Ÿคฃ๐Ÿคฃlakin wap ni kama chuo kilisema dogo utasupua tu mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ