eFootball Special Thread

Chuo ujinga mwingi anayepata sup kusapua anajiona mwamba kuliko aliyefaulu UE๐Ÿ˜€
Hiyo nakumbuka kwenye mtihani wa commercial arithmetic wenzangu wameingia na Scientific Calculator mie nikaamini natoboa kwa kichwa ๐Ÿ˜‚

Nikafanya maswali kadhaa yaliyohitaji calculator nikaishia njiani, nikacheka kimyakimya halafu nikajisemea โ€Nitarudi kufanya supโ€ ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ