Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Ipo mkuu, binafsi siwezi peleka wachezaji wangu kwenye hii timu ๐Kumbe kwenye game wameiweka Tanzania na hatuambiani wakuuView attachment 3394939View attachment 3394940View attachment 3394941
Yani ni kituko๐Ipo mkuu, binafsi siwezi peleka wachezaji wangu kwenye hii timu ๐
Yaani Batigoal avae jezi ya Taifa Stars, sitaki kumvunjia heshima kiasi hicho ๐
IPo mkuu kila nikifikiria kuhama Benefica niweke Tanzania nawaza jezi tuu๐๐๐Dah nilikua sijui
Jamaa timu kaita Gari la PointKumbe kwenye game wameiweka Tanzania na hatuambiani wakuuView attachment 3394939View attachment 3394940View attachment 3394941
Hata me sina mpango kabisa wa kutumia hizo jersey ๐ฌIpo mkuu, binafsi siwezi peleka wachezaji wangu kwenye hii timu ๐
Yaani Batigoal avae jezi ya Taifa Stars, sitaki kumvunjia heshima kiasi hicho ๐
Gari la pwenti Dakk ya 30 kala tatu aka ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐Jamaa timu kaita Gari la Point
Ubaya ubwelaView attachment 3395066View attachment 3395062View attachment 3395060
Unajua ukiwa na team kubwa unaamini hautakiwi kufungwa,
Jamaa baada ya kufungwa hakaamua asusie match na me nikaamu nisusie kucheza
Konami wakaona isiwe shida๐
Me 16 na kuna moja bado ipo sijakamilisha๐๐View attachment 3395186
Wakuu mmefikisha chance ngapi? Hapa naona kabisa naenda kuambulia patupu
Selikavu its your time now to get this big time๐ฌ
Sana tu ๐Yani ni kituko๐
Utafungwa mpaka uikimbie ๐IPo mkuu kila nikifikiria kuhama Benefica niweke Tanzania nawaza jezi tuu๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃLikaona ya nini kufia RoomGari la pwenti Dakk ya 30 kala tatu aka ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐โโ๏ธ ๐
Utafungwa mpaka uikimbie ๐IPo mkuu kila nikifikiria kuhama Benefica niweke Tanzania nawaza jezi tuu๐๐๐
Sijui walifikiria nini kuweka hii timu ๐Hata me sina mpango kabisa wa kutumia hizo jersey ๐ฌ
Kuna watu wamejaza wafu aisee ๐View attachment 3395066View attachment 3395062View attachment 3395060
Unajua ukiwa na team kubwa unaamini hautakiwi kufungwa,
Jamaa baada ya kufungwa hakaamua asusie match na me nikaamu nisusie kucheza
Konami wakaona isiwe shida๐
Aah nikaona Benfica yangu hata hatupo wengi ๐ basiUtafungwa mpaka uikimbie ๐
Mpaka unaogopaKuna watu wamejaza wafu aisee ๐
Hivi zinatakiwa ziwe ngapi kwanza?View attachment 3395186
Wakuu mmefikisha chance ngapi? Hapa naona kabisa naenda kuambulia patupu
Selikavu its your time now to get this big time๐ฌ
Zinafika 20 kama sijakoseaHivi zinatakiwa ziwe ngapi kwana?