Complete striker with 2 boosters(attacking & striker's instinct) phenomenal finishing, bullet header, blitz curl.Konami baada ya kunipa Striker la Dunia kwa akina Lamal pale View attachment 3392563
Wakaona wanibless Vini๐๐๐View attachment 3392562
Kuna watu hatufaidiki kabisa na hizi free chance๐ฌKonami baada ya kunipa Striker la Dunia kwa akina Lamal pale View attachment 3392563
Konami wanajua kile nina taka๐คฃ๐คฃ๐คฃComplete striker with 2 boosters(attacking & striker's instinct) phenomenal finishing, bullet header, blitz curl.
Player skills
-Heading
-One touch pass
-Acrobatic
-Visionary pass
In short he's the best in all aspects.
Acha tu mkuu kuna mdau nilimfungulia game juzi kati kapewa zake Bellingham wa 107๐๐Kuna watu hatufaidiki kabisa na hizi free chance๐ฌ
Kwa upande wangu huwa natamani zisiwepo tu ๐Kuna watu hatufaidiki kabisa na hizi free chance๐ฌ
Bora huyo mara 1000 kuliko etoo na rummenige ๐Konami wanajua kile nina taka๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kazi kazi.Nina wakilisha vyema na kikosi yangu ya 3090View attachment 3393206
Game zidi yaView attachment 3393207
Matokeo View attachment 3393208
View attachment 3393209
Vijana wanapiga kazi๐๐๐
Huyu jamaa nilikuwa najiuliza ni lini atashinda walau awe hata na goli 1, hatimae amefanya hivyo na ndo lilikuwa bao la ushindi ๐
View attachment 3393311
Hakuna namna ๐Kazi kazi.
Huyu mwamba kushambulia siyo shida zake kabisa ila angekuwa Guardiola idadi yake ya magoli ingekuwa inafukuzana na Strikers ๐
Huyu mwamba kushambulia siyo shida zake kabisa ila angekuwa Guardiola idadi yake ya magoli ingekuwa inafukuzana na Strikers ๐
Goli lilivyoingia nikawa nasubiri replay nione aliyeshinda, nikamuona yeye bhana karuka header hadi nikacheka kwanza ๐
Umempata na kiberenge Vini kazi ipo ๐ hizo counter ๐Nina wakilisha vyema na kikosi yangu ya 3090View attachment 3393206
Game zidi yaView attachment 3393207
Matokeo View attachment 3393208
View attachment 3393209
Vijana wanapiga kazi๐๐๐
Umejitahidi mechi 50 goli 2 ๐View attachment 3393555View attachment 3393556
Kwenye haya 25 magoli 24 nadhan ni Nje ya Box,๐๐
๐๐๐ Uzuri Card yake ni CF ambayo ni Adv Striker nilivyopata moja kwa moja akapitiliza kikosiniUmempata na kiberenge Vini kazi ipo ๐ hizo counter ๐
Mawili atoe wap moja kaka๐๐๐Umejitahidi mechi 50 goli 2 ๐
Niliangalia vibaya, hata hivyo umejitahidi.Mawili atoe wap moja kaka๐๐๐