eFootball Special Thread

Leo saa nne usiku nitakuwa na Darasa la kuwafunga Legends ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Razorblade usikose nitakuwa mubashara muda huo nikupe maujuzi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Kikosi dakika 90 zote formation moja
Achaneni na coin zangu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃangalien Badge



Sema siri ni kukaba mzee hasa Beckham na Roberto Carlos wasipige cross wala kukupita
 
Leteni mbinu ya kuwafunga hawa jamaa kwenye level ya ligend maana imekuwa janga kwangu ๐Ÿ˜‚
View attachment 3386572
Solution ni kuwapelekea moto mimi nimewafunga mara moja tu.

Kaa na mali shambulia kwa mipango. Lakini pia press kwa timing kwenye mipira 50/50 tu muda mwingine tumia match up. Usiwape chance kabisa ya kupiga shuti golini.
 
Yaliyotokea leo Room moja niliyoingia....


Kikosi changu pendwa kwa sasa๐Ÿ˜ƒ

Kikosi cha jamaa

Matokeo

Na ilibaki kdg nifungwe la Kumi Kayoko akasema inatosha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Huyu Etoo mna uhakika anakabika??


Baadae naenda tena na jamaa kwa kikosi hiki hiki nitaleta mrejesho๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Kaka ina maana simu yako haina flight mode๐Ÿ˜ฌโ˜ ๏ธ
Amna ni Friend match kaka๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Alafu sijawai Kimbia mechi hata iwaje....


Ukifungwa kubali


Japo kuna magoli kama matatu hapo nilipigiwa simu ikalag
 
M
Mkuu GP unapataje pataje aiseh? Hongera sana
 
Shuti 10 goli 9 ๐Ÿ˜ƒ. Kipa wake kamuokoa maana dizaini mechi ili balance maana na wewe umepiga on target 9
 
M

Mkuu GP unapataje pataje aiseh? Hongera sana
Mkuu hizo ni chache sana watu wana million 13 humu ndani๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒhazinaga kazi atleast siku hizi unaweza nunua booster ma skills ndo kidogo zimeanza kutumika
 
Shuti 10 goli 9 ๐Ÿ˜ƒ. Kipa wake kamuokoa maana dizaini mechi ili balance maana na wewe umepiga on target 9
Huyo Etoo hapana akipiga tuu imo...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mimi nikienda mbele nikipiga Schmichel anasema not today๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hongera mkuu kwa uzalendo...sema inaonekana unafunguka sana mkuu.....
Mkuu katika watu tunacheza defensive humu ndani na mimi nipo sifunguki ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒhicho kikosi nilizidiwa kila sehemu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Mkuu katika watu tunacheza defensive humu ndani na mimi nipo sifunguki ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒhicho kikosi nilizidiwa kila sehemu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Pole mkuu .... Kuna wana wanajiweza sana ...hahahaha Kuna yule alinifunga 4 nikimisplace pass na golikipa hafungi anaanza build up kwa kurudisha mpira nyuma hahaha.
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นoyaaa dadeki nazima data namwachie jamaa 3-0 yake ukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ