Adriano Striker's instinctView attachment 3384372View attachment 3384373naombeni booster zao
Kwa kikosi hiki ukishindwa kufika divison 1 inabidi upigwe viboko๐View attachment 3384408
Kwishaa๐
Nyie mna agenda gani mbona kama mna mganga mnaye uwakika ana odds mbili za uhakika ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Afute game tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKwa kikosi hiki ukishindwa kufika divison 1 inabidi upigwe viboko๐
Hili kosi ungepata kama nakuona unavyokiwasha divison 1 saa hii๐Afute game tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Daah acha tu mkuu๐๐๐ndo maana nimekuwa mtoa ushauri tuu๐๐๐Hili kosi ungepata kama nakuona unavyokiwasha divison 1 saa hii๐
Daah acha tu mkuu๐๐๐ndo maana nimekuwa mtoa ushauri tuu๐๐๐Hili kosi ungepata kama nakuona unavyokiwasha divison 1 saa hii๐
Me nimekuja juzi nina badge ya division two...๐๐Daah naukosea heshima Uzi muanzishaji nipo div 3
Ebu nifike
Kaza kaza badge za division one ziongezeke humu kwa sasa zipo tatu kama sijakosea Negan , Gilberto na Mill BrohNahakikosha nitafika mkuu ๐ค
Hahaha mkuu...m Mimi pvp nimeshindwa aiseh nipo league Ai dvn 4 naona naenda divn 2 kesho..Me nimekuja juzi nina badge ya division two...
Ukikaa hovyo Kandambili atakupita๐๐๐
Hao Ai utawakimbia siku sio nyingiHahaha mkuu...m Mimi pvp nimeshindwa aiseh nipo league Ai dvn 4 naona naenda divn 2 kesho..
Shida ya pvp Network inaniangusha sana sana....nimebakisha match 5 nahitaji point 3 sema network ndo inanifanyia nisiwakande vizuri.
Mkuu itabidi nirudi pvp tu .hahahaa....Kuna two option ya Kona nawabondaa sana....Hao Ai utawakimbia siku sio nyingi