Jamaa winger mmoja matata konami wameona anafaa kabisa kwenye kikosi chako๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐ View attachment 3384360
View attachment 3384368View attachment 3384369mmesema hamtaki trick sawa.
Hatuji room๐คฃKidogo sio sana
Adrian according to hawa jamaa ni Striker Instincts na Pedri ni TechniqueView attachment 3384372View attachment 3384373naombeni booster zao
Pedri mweke upande wa Bellingham ๐๐๐ awe anazizungusha pale karibu na Goli kwa mguu wa kulia...View attachment 3384408
Kwishaa๐
Ebu niishi nazoAdrian according to hawa jamaa ni Striker Instincts na Pedri ni Technique View attachment 3384411View attachment 3384409
๐ ๐ ๐Jamaa winger mmoja matata konami wameona anafaa kabisa kwenye kikosi chako๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Winga ana speed 69 dadeki๐น๐น๐นFuraha itaisha ukifungwa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mr Devil embu nenda nae Room huyu mweke winger wetu waliyetupa konami akamnyooshe๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUkipata kocha wa booster mbili ya Speed na acceleration anafika 70 bado speed nzuri kabisa๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐
Winga ana speed 69 dadeki๐น๐น๐น
Tupo pamoja๐๐๐jioni nitapanda nije kuwakamiaSawa mkuu
Sio kukubonda tuu kukubonda na kikosi ya 3086๐๐Unibondee
๐คฃ๐คฃ๐คฃtwende saiviUsinitishe mkuu, unajua nliacha kucheza wiki ya pili sasa kisa vipigo
Nitakupiga utachagia kikosi gani.
Mtupatie basi na sisi tuyoe vigundu ๐Nimevitoa kwa Mill broh ๐