Good gameThunderkick
๐ ๐Good game
Watanipa tu na mimiJichanganye ๐
Aya basi sawaa tutaenda kucheza nitaweka kikosi kinachokalibiana na chako๐Haina mzuka ๐
Undugu wetu upo wap??
Undugu wetu upo wap??
Umoja wetu upo wap???
Ushirikiano wetu upo wapi??
Utanzania wetu upo wapi???
Upendo wetu upo wap???
Matokeo yapo wapi wakuu??
Matokeo yalikua hivi๐ ๐Results broo
Kaka umeweza kumkazia Mill bro basi mimi nikija saivi nitafungwaMatokeo yalikua hivi๐ ๐ View attachment 3383315
๐ ๐ kaka ili bidi niweke hivi kwanzaKaka umeweza kumkazulia Mill bro basi mimi nikija saivi nitafungwa
๐คฃ๐คฃ๐คฃBila hivyo kaka ungekufa counter swafii kabisa๐ ๐ kaka ili bidi niweke hivi kwanzaView attachment 3383336
๐ ๐ nili shtuka game ya kwanza ,๐คฃ๐คฃ๐คฃBila hivyo kaka ungekufa counter swafii kabisa
Weka kosi kubwa.Aya basi sawaa tutaenda kucheza nitaweka kikosi kinachokalibiana na chako๐
Umeanza kuiva mkuu.
Hapana siwezi weka mzee kosi yako ya elfu mbili niweke cha elfu tatu๐คฃWeka kosi kubwa.
Mtu kapiga man marking mzee Mill Bro ni wa motoUmeanza kuiva mkuu.
Nawe umeanza kuwa kama wale wa group za WhatsApp, mie ndo mchezaji siyo kikosi.Hapana siwezi weka mzee kosi yako ya elfu mbili niweke cha elfu tatu๐คฃ
Ndo nimeona, amenisikitisha sana ๐Mtu kapiga man marking mzee Mill Bro ni wa moto
Amna siwezi mkuu hakuna radha napoteza muda tuuNawe umeanza kuwa kama wale wa group za WhatsApp, mie ndo mchezaji siyo kikosi.