Hii NAPIGA.๐ kibabu mabeki wana kaa juu sana ,nikicheza na mnao acha striker mbele kama NEGAN nachoma kibanda sana
Ya japan auAccount yangu inasubiri kocha tuu soon naachana na ya Myunani nahamia huku mazima๐
Ile ya Myunani nitakuwa naingia kwenye challenge tuuView attachment 3377587
Babu hatoi mabeki, huyo hamjui Alonso.Bora kibabu sio Alonso kaka๐๐
Wewe umewatumia wote unajua Show ya Alonso๐๐๐Hii NAPIGA.
Eeh MkuuYa japan au
Alonso wanakuambia kabisa wadau utafunga na kufungwa๐๐๐Babu hatoi mabeki, huyo hamjui Alonso.
Nimeachia makocha wote kabaki babu Gesperin tu ๐Wewe umewatumia wote unajua Show ya Alonso๐๐๐
Ukiwa na Alonso kutoa GG ni kawaida sana ๐Alonso wanakuambia kabisa wadau utafunga na kufungwa๐๐๐
Najuta kumuacha๐Nimeachia makocha wote kabaki babu Gesperin tu ๐
Ukiwa na Alonso kutoa GG ni kawaida sana ๐
Pole sana ๐Najuta kumuacha๐
Anashambulia vizuri sana ila kwenye kujilinda ni tobo.kila mtu anasema hivyo...
Mkuu me ndo naingia hapa ratiba ilikuwa ngumu kidogo๐คทโโ๏ธ
Tumekimbizana huko room sio mchezo ๐Ulikuwa n Mill Bro leo๐๐
Matokeo yapo wap
Ewaaa mlete tokeo sasa tuone nani kanyooshwa leo๐๐Tumekimbizana huko room sio mchezo ๐