Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Nenda kwenye upande wa notifications kule kuna taarifa inaekeza ni kwanini, kifupi wamebadirisha utaratibu.Halafu wakuu imekuaje hii phase nimeanzia division 3 na sio division 4?
Nakaza kishenz bora sare kuliko lose.Mtego huo mkuu, ikitokea umefungwa na hao wa dvn 3 utakatwa points za kutosha ๐
Magroup nilileft baadhi maana ilikuwa too much sasa๐๐๐Watafikia huko saivi. Haujaona kule kwa Zico kuna mtu ana 3280+ na hapo kuna wachezaji wapo reserve wana 105-6.
Kama ulishawahi kufika division 1.Halafu wakuu imekuaje hii phase nimeanzia division 3 na sio division 4?
Huyo jamaa hataki ubadirishe hata mpiga kona ๐๐๐Huko Whatsapp kuna balaa Kuna jamaa anajiita Sure mreno anakuambia aje mtu ambaye hapause game mwanzo mwisho wala kubadilisha wapiga kona๐๐๐
๐๐Me kama amenibahatisha huwa naomba rematchHaha, mtu alieweka no akinifunga huwa natamani nimfate nimtukane ila nakaza ๐คฃ
Kwa nini?Magroup nilileft baadhi maana ilikuwa too much sasa๐๐๐
๐๐ Hapo upo na WA division one wenzako ndo maana game gumu๐Kumbe๐
Niombe rematch nichakazwe ๐ ๐คฃ๐๐Me kama amenibahatisha huwa naomba rematch
Unganisha na Konami Id bila hiyo hizo coin 25 za kila jumatatu huwezi kuclaimNataka nijaribu tu kwanza kama kuunganisha nitatumia Google ID(Google Play Games).
Me sikucheza kabisa sijui nitaanzia wap๐๐Kazi kwenu muuane div 4 mechi 10 za moto ๐
Kuna mwamba alikatwa point 50๐๐Mtego huo mkuu, ikitokea umefungwa na hao wa dvn 3 utakatwa points za kutosha ๐
Hata sare unakatwa za kutosha tuu๐๐Nakaza kishenz bora sare kuliko lose.
Kama ulishawai kufika au huo msimu ulioisha kama ni hivi basi me nitakuwa Division 4Kama ulishawahi kufika division 1.
Points 5 tu, sijawahi kuzidishwa labda nikifika div 1Hata sare unakatwa za kutosha tuu๐๐
Nilitaka nicheze nae nione ana mpira gan maana sio kwa hizo mbwembweHuyo jamaa hataki ubadirishe hata mpiga kona ๐
Hata kama tangu phase 1. Mana mi mara yangu ya mwisho kufika div 1 ilikuwa yangu mwezi wa 2 huko division sikucheza sana tena.Kama ulishawai kufika au huo msimu ulioisha kama ni hivi basi me nitakuwa Division 4
Ilikuwa ni mwendo wa kutafuta code siku nzima ikitumwa nimo๐คฃ๐คฃnikaona nisipopunguza nitafia room siku moja๐คฃ๐คฃKwa nini?
๐คฃ anajichukulia tu kikosi kwenye vile alivyonavyoNilitaka nicheze nae nione ana mpira gan maana sio kwa hizo mbwembwe
Ila Mr Balle hata sijaribu maana najua hiyo kikosi hakuna duniani๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ duhIlikuwa ni mwendo wa kutafuta code siku nzima ikitumwa nimo๐คฃ๐คฃnikaona nisipopunguza nitafia room siku moja๐คฃ๐คฃ