Asee bora niinstal kabisa๐maana ninakoenda network chengaIla update ya playstore tayari, tusubirie ya kwenye game tu.View attachment 3365451
Majobless ๐Kheeh ๐๐sasa me nitafanya nini mpka hiyo saa saba๐๐
Update mapema. Huwa inawasumbua watu kuupdate game likishafunguka linakuwa zito kuupdate mana watu wengi watakuwa playstore.Asee bora niinstal kabisa๐maana ninakoenda network chenga
Tayali kakaUpdate mapema. Huwa inawasumbua watu kuupdate game likishafunguka linakuwa zito kuupdate mana watu wengi watakuwa playstore.
Ili game limenifanya nimekuwa un productive for 3 Months hakuna cha maana nimefanya๐๐Majobless ๐
๐ ushakuwa mlevi wa gameIli game limenifanya nimekuwa un productive for 3 Months hakuna cha maana nimefanya๐๐
Huwa nina tabia la kulichoka game sasa hili naona bado๐ ushakuwa mlevi wa game
eFootball hakunaga kulichoka kuna kupumzika tu. Kuna siku utalikuta tu limerudi kwenye simu๐Huwa nina tabia la kulichoka game sasa hili naona bado
Nikishapata kikosi nitapunguzaeFootball hakunaga kulichoka kuna kupumzika tu. Kuna siku utalikuta tu limerudi kwenye simu๐
Sema wengi mchana sio sana. Ila usiku Naweza rudi gheto saa 7 lakini lazima nitumie saa moja kwenye game๐Nikishapata kikosi nitapunguza
Ukikutana na vipigo vya mbwa koko unalud kutulia zako๐๐Sema njia nzuri ya kuacha kucheza hili game ni kwenda kucheza eFootball league, utakutana na frustration ambazo haujawahi kukutana nazo๐
Ukitoka hapo mood yote imekata unapumzika week bila kugusa๐
Nashinda idle sana siku hizi kwahiyo ni games tuu siku nzimaSema wengi mchana sio sana. Ila usiku Naweza rudi gheto saa 7 lakini lazima nitumie saa moja kwenye game๐
Hutaki tena makosa ya kwa Bastoni๐๐Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
View attachment 3365605
Sijui ni Destroyer ila kutokana na hiyo skills hapo atakuwa ni Build up tuuBila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
View attachment 3365605
Hawa bi wa bure? Sija login badoBila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
View attachment 3365605
Siwezi kumuacha huyo winga wa edge crossing ๐Bila kujiuliza mara 2 hapa naondoka na CB.
View attachment 3365605
NdiyoHawa bi wa bure? Sija login bado