eFootball Special Thread

Selikavu ngoja nilale tutacheza siku nyingine. Ila huyu curtois umemlisha nini ๐Ÿ˜€ anasave kila kitu ๐Ÿ˜€
Aah nina kipa Ludovic nilimchukua juzi lakn simwamini kama Courtois ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Sema mkuu Nunez atakuja aniue saba peke ake siku moja๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Aah nina kipa Ludovic nilimchukua juzi lakn simwamini kama Courtois ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Sema mkuu Nunez atakuja aniue saba peke ake siku moja๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
nunez anakosa sana magoli ya wazi. Ila zile kaunta zako ndio maana nacheza mipira ya juu ukishika mpira hujiulizi mara 2๐Ÿ˜€
 
nunez anakosa sana magoli ya wazi. Ila zile kaunta zako ndio maana nacheza mipira ya juu ukishika mpira hujiulizi mara 2๐Ÿ˜€
Nilikuwa nashangaa mbona leo mpira wa tofauti kabisa unacheza ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ kumbe ilikuwa ni Anti Counter ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Kuna mtu nimecheza nae leo mchana kaniambia nijifunze kukaa na mali๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnikacheka tuu

Na kidogo nimekuja kumuelewa Owen mchezo wake kwahiyo hapa saiv ni counter tuu
 
Ile ni anti counter sababu una press kwa fujo na ukiupata mpira pass 2 una shoot๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ