eFootball Special Thread

Mkuu nimekupata ngoja nifanyie kazi hii kitu
 
Si ungenistua tester hapa nipo kwa ajili yako ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Sikuwa na mpango wa kucheza ila nilivyoona invite nikasema ngoja nizame room, kwa simu yangu na mpira wako wala hufai kwa training ๐Ÿ˜‚
 
Mkuu hapo naona wameweka uhitaji wa coin 100 na sina coin kwasasa....au ipoje?...
Kuna sehemu kwenye hao wachezaji karibu na coin wanakuwa wameandika Remaining one na kuendelea pita sehemu zote mpaka mwisho kabisa ukiona sehemu pameandikwa Remaining 1 au 2 na kuendelea bonyeza hapo hapo kuna mchezaji wako
 
Sikuwa na mpango wa kucheza ila nilivyoona invite nikasema ngoja nizame room, kwa simu yangu na mpira wako wala hufai kwa training ๐Ÿ˜‚
Twende nitatumia kile kikosi kingine cha Selikavu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ