Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
Hamna ishu hapoJina tu wolfbrothers๐
Sija pata formation permanent nikiona nafungwa sana nahamaWe una balaa ukicheza ile formation yako 4141 striker Neymar sema umeiacha tu
Mkuu nimezishika vyema yani nabonya hadi inasogea power range ile na pasi haitoki....nashukuru nimekutana na muungwana hahahahAah hujazishika button vizuri sehemu zilipo kwa hiyo unaweza ukawa unabonyeza sehemu ambapo hakuna kitu
Nilipigiwa simuWaterbender nice match ๐คila naona mtandao umekata kwako
Ndiyo maana๐Nilipigiwa simu
Unanivizia mno asee๐Ndiyo maana๐
Sivizii na maintain defensive shape๐Unanivizia mno asee๐
Username not foundnahitaji kupasha wakuu...nione kama shida ya button imeisha kandambili1 ndio user yangu
Totti wako ana balaa lile goli ๐ซกUnanivizia mno asee๐
Ungeniachia beki tatu ni jilie๐Sivizii na maintain defensive shape๐
Niligundua hili๐ Totti ni dlf angefanya runs nyingi sana nyuma ya beki wangu nikafanya tactical change๐.Ungeniachia beki tatu ni jilie๐
๐๐๐ Kibonde ni mimi humu mkuu nikifwatiwa na Razorblade ๐๐๐๐๐itabidi nipande nae si unajua me ndo kibonde wa humu mna jipigia tu
Smart inaniokoaga sana kwa mabeki hukuNiligundua hili๐ Totti ni dlf angefanya runs nyingi sana nyuma ya beki wangu nikafanya tactical change๐.
Halafu zima smart assist hiyo mkuu๐
Ni kuhama tu huku na kule๐๐๐ฅTotti nilimshusha chini nikamuachia torres na drogba๐
Kama inakuokoa hamna shidaSmart inaniokoaga sana kwa mabeki huku
Pass 175 mnacheza vinini kwan๐๐๐pasi zote hizo hamuoni goli ama๐คฃ๐คฃ๐๐sanaa, second half uli instruct wahuni wabaki nyuma ya beki zangu nini
Ni balaa๐ฅ๐คฃJina tu wolfbrothers๐
Tafuta formation moja komaa nayo kaka hata ufungwe mia hubadilishiSija pata formation permanent nikiona nafungwa sana nahama