Mwache mbappe bhana striker ya boli๐คฃ๐คฃUlikuwa haujui kama ni Bullet Header sio ๐ afu wewe mara nyingi cross zangu huwa unazinasa. Nakukomoa sasa naanza kukuwekea Nunez ๐คฃ
Hizi card huwa wanazipunguzia makali tena???Wameipunguza makali dah sema kwenye heading bado yupo vizuri akikutana na mabeki wafupi.
Aah hujazishika button vizuri sehemu zilipo kwa hiyo unaweza ukawa unabonyeza sehemu ambapo hakuna kituWakuu Mimi ndo naanza bhana..
Kuna hii shida nakutana nayo....yani pass hazitoki hata niguse mara 3 wala kick, wala through ball....hii shida inaishaje...
Kuna daraja la 9 na 8 nmecheza vyema sana bila shida
Edo kissy kasema hakuogopi kabisa kaka mchana hiyo๐๐๐Mda wa kupasha, Nani yupo
Oya una balaa๐Its time๐
Wanatoa kadi zenye stats nzuri zaidi automatically kadi za zamani zinaishiwa nguvuHizi card huwa wanazipunguzia makali tena???
Mmeenda kwan??๐๐Oya una balaa๐
Vip mmecheza??Muda umefika coop tusisahau pia
Umejitaidi๐Mda wa kupasha, Nani yupo
๐๐itabidi nipande nae si unajua me ndo kibonde wa humu mna jipigia tuEdo kissy kasema hakuogopi kabisa kaka mchana hiyo๐๐๐
Twende mkuuUmejitaidi๐
Totti nilimshusha chini nikamuachia torres na drogba๐Mr Devil umeenda kumakaba Totti utamuweza kwel๐๐๐View attachment 3362548
๐๐sanaa, second half uli instruct wahuni wabaki nyuma ya beki zangu niniUmejitaidi๐
PoaTwende mkuu
We una balaa ukicheza ile formation yako 4141 striker Neymar sema umeiacha tu๐๐itabidi nipande nae si unajua me ndo kibonde wa humu mna jipigia tu