Ngoja tuone muda utaongea kakaNdo hivyo sasa na huyu wanampamba sana akikosa mtu mzuri wa kumtuliza sifa zinaweza muharibu.
Anakusakazia Italian Prince wa 105 wakati pedri tu wa 100 anakusumbua kila siku๐๐๐Oya mbona unachomoa betri mkuu ๐
Binafsi bila coin za kununua hata Rodri nisingempata๐๐๐Watu mna spi na kamzizi๐๐
Mshauri Selikavu akaspin ๐Coin 100 japo nlimtaka son๐๐๐ฟView attachment 3361838
Mwendo wa kusagia kunguni tu๐Binafsi mimi ni Team Totti kwenye hii match ya leo๐คฃ๐ฅ
Ukafe tuu undugu utalud ukishafungwa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nilinunua zile za wizi kama elfu mbili hivi๐๐๐Watu mnanunua hadi coin๐๐๐ฟ
Ila dogo namuelewa, atafika mbali.Ngoja tuone muda utaongea kaka
Lini pedri kanisumbua wewe wakati alikuwa anakutana na kipara Amrabat, nikimpata Kante namuweka pamoja na Rodri ๐Anakusakazia Italian Prince wa 105 wakati pedri tu wa 100 anakusumbua kila siku๐๐๐
Litakufa jitu baadae we ngojea tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃTotti๐๐ฟ
Sasa mtu anacheza game masaa 9 hawezi shindwa nunua coins ๐Watu mnanunua hadi coin๐๐๐ฟ
Itakuwepo tu.Wakuu leo mechi ya Coop ipo?