eFootball Special Thread

Unajua card yake ninayo na yupo sub huwa nikimuingiza ananipa presha sana maana kumkuta juu kama winga ni kawaida ๐Ÿ˜‚

Wafanye kuleta card yake yenye ujazo mkubwa sasa, kitendo cha kumficha Yamal kamdomo amenikosha sana ๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒUnavyomchukia Lamine mzee ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒndo kwanza ana miaka 17 mpk afike 30 sijui utakuwa wap๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ