eFootball Special Thread

Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st half๐Ÿ˜€ second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal nae๐Ÿ™Œ
Kuna watu kwenye kumtumia utatamani ukimbie mechi dadeq mana mtu kila saa shuti. Kungekuwa na injury kwa makipa wangekoma ๐Ÿ˜„
 
Kaka Selikavu nashukuru sana kwa hii gundu uliyoniachia. Umenifunga zako usiku ule nimelala nimeamka na nuksi+.
Mimi sio wa kucheza game 12+ bila kushinda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‘picha linaanza asubuhi nawasha tu data msela ananambia turuke, najaribu kumkwepa nikamuambia kuna mtu namsikilizia anatuma code, nashangaa code hizo akatuma yeye kuwa nicheze nae. Kanifunga mpaka nikamuambia utaniua ๐Ÿ˜‘
Kilichoniuma sana, kuna mechi kama 2 kanifunga 3-0 yani nimetoka bila ya GG duh. Selikavu ndo chanzo!!!


nimetoka kufungwa nikaingia group la masela chuo tukashauriana tuguse ligi fupi ya Eid al Adha inayoisha leo leo, mimi huwa ndo nawasimamia na kuwaandalia fixtures za ligi.
Mara nyingi huwa wananikataa nisishiriki ligi eti nawaonea sana ๐Ÿ˜„ ๐Ÿซฉ leo nikang'ang'ania, imeniuma sana nimetolewa robo fainali na kibonde wa group ambae tumemrushia game juzi tu aysee, tena nje ndani haha๐Ÿ˜‘

Haya yote msababishi wewe Selikavu Na hii ni mbinu ya kukukimbia ila sikuambii ๐Ÿ˜„ mana sikuizi umeshanifanya teja unanifunga sana ๐Ÿ˜ข ๐Ÿ˜…
๐Ÿ™Œ
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒDah mbona ma master wote mnanikimbia mwanafunzi wenu me nitajifunza wap๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mkuu nipe hongera kwanza kwa kukufunga maana kukufunga wewe inahitaji uwe na superpowers sio kww zile pasi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhizi nne bila tano bila kwako nimezila mno๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Malipizi sio๐Ÿ˜‚ sawa, ndo nakukimbia sasa
 
Huyo jamaa sio mtu mzuri wallah๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
 
We jamaa sio mtu mzuri kabisa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Sasa me niwe nacheza na nani mkuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Master Razorblade amesema hatuchezi wewe tena๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒmnataka kiwango changu hichi kidogo kishuke๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Nioneeni huruma basi๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Pandisha kiwango division pale ukikosa opponent wa kwenda nae room๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ
 
Rudi asee
Kaka nilikuwa na game ya league huko na mshakaji ndo maana nilitoka chap...


Nimekutana na mwamba kwanza rank inasoma div 1 wa elfu 17 pili anacheza Back 5 tatu ana Mick van de van wa booster moja yupo DMF pamoja na Kante๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnimepigwa kama mbwa koko๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ