eFootball Special Thread

Mzee wa kuchimbua makaburi ๐Ÿ˜‚.. hiyo umeitoa wapi?
Nilikuwa natafuta comment ya master Razorblade akiwa ananielekeza game.... Niliscreenshot kwa matumizi ya baadae ila nimeikosa...

Razorblade kumbe master wangu alafu namuelekeza tena๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmwanafunzi sina adabu


Master shifuu Razorblade umeniispire sana kucheza Efootball bila wewe ningekuwa sijui๐Ÿ˜ƒhatubishani tena kuhusu anchoring hapa na mimi nataka nikampe Bastoni maana master ni master tuu akifanya kitu iga
 
Mikwara tu ile ๐Ÿ˜‚.. mlijaa nasoma mlivyokuwa mnachati pale mlikuwa mnamsaksia Negan kwangu, sema sikuziona eti ndo nazisoma leo.
 
Naweza hata nikastaafu game lakini wewe bado ni mwanafunzi tu kwangu ndiyomaana nimekwambia cheza sana friend match walau ufikie robo ya ubora wangu ๐Ÿ˜‚
 
Naweza hata nikastaafu game lakini wewe bado ni mwanafunzi tu kwangu ndiyomaana nimekwambia cheza sana friend match walau ufikie robo ya ubora wangu ๐Ÿ˜‚
Sawaa Shifuuu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nitajitaid naomba siku nipate game na wewe nipate tena mawili matatu ya kunifanya niwe pro๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒnajua upo busy na wanafunzi wengi ila fanya kunikumbuka master i humbly submit
 
Huko DLS wamepelekewa Batistuta (BatiGoal) bana, afu eti anauzwa kwa pesa za halali eti Laki na elfu 7, na game lenyewe lile ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
View attachment 3359686BatiGoal ametrend sana hizi siku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st half๐Ÿ˜€ second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal nae๐Ÿ™Œ
 
Batigoal ana balaa juzi online nimekutana na mtu anajua kumtumia Batigoal kanipiga hat trick 1st half๐Ÿ˜€ second half ikabidi nimuweke Rudiger a deal nae๐Ÿ™Œ
Ukikitana na mtu anaejua kumtumia vizuri huyo anakufunga hata akiwa haliangalii goli ๐Ÿ˜‚
 
Huko DLS wamepelekewa Batistuta (BatiGoal) bana, afu eti anauzwa kwa pesa za halali eti Laki na elfu 7, na game lenyewe lile ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
View attachment 3359686BatiGoal ametrend sana hizi siku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
Mbona alikuwa ni bure kabla sijahamia Efootball waliwaleta legends kazaa na Batistuta alikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ