eFootball Special Thread

Hakuna aliyekupangia kaka ni kwenye harakati za kuelekezana plus utani nothing serious mzee๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Kwanza leo twende room kaka nina kikosi kipya cha moto balaaView attachment 3359119
Naelewa ila wewe umekomaa na Adams wangu kama vile anakutoa roho, najua unamtamani sana basi jitulize tu utampata ๐Ÿ˜‚

Sichezi zaidi ya events mpaka nipate simu ya kueleweka ๐Ÿ˜‚
 
Naelewa ila wewe umekomaa na Adams wangu kama vile anakutoa roho, najua unamtamani sana basi jitulize tu utampata ๐Ÿ˜‚

Sichezi zaidi ya events mpaka nipate simu ya kueleweka ๐Ÿ˜‚
Sasa kujituliza kwangu kunahusiana nini na kumpata Tony Adams๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Unacheza event muda gani na mimi nije ni search muda huo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ