๐ ๐ nimeonq,amna haja ya kufika kwa box una mtumia moja kwa moja bunker booster njee ya boxUmeona lakin hana kipa hapo
Nilipigiwa simu ya muhimu kaka nikashindwa kukata ikabid nipokee tuu
Akiingia uwanjani huyo mmoja anakuwa kipa๐๐konami walijua kuna vijana watajaribu kucheza bila kipa๐ ๐ nimeonq,amna haja ya kufika kwa box una mtumia moja kwa moja bunker booster njee ya box
Jana ilikuwa nuksi plus script ๐ .. game zilikuwa za moto mno kwangu.Kumsumbua hivi Gilberto_ ni mpaka mwakani Tena majira kama hayaView attachment 3357688View attachment 3357689
Mi nakaba kweli mana ulikuwa ukipanda counter tu kamba ๐sijui beki jana zilishindia njaaSasa kama huna beki five unakaba vile mzee๐คฃ๐ukiweka me napita wapi๐๐
Sawaa kakaSawa kaka mida tuguse
Konami wameona unashinda mno kwangu wakaona wakupige script ๐๐Jana ilikuwa nuksi plus script ๐ .. game zilikuwa za moto mno kwangu.
Ngoja nipate yule halaand pocher ๐๐๐kuna counter zinakataa kwa sababu striker hana nguvuMi nakaba kweli mana ulikuwa ukipanda counter tu kamba ๐sijui beki jana zilishindia njaa
Tony Adams inverted Midfielder inamfaa sana hii๐๐ซตSelikavu ,Razorblade ,NEGAN kuna siku tulikiwa na mada kuhusu Anchoring, kuna hii nimekutana nayo huko Telegram kwa huyu jamaa. Yeye huwa anaitumia kwa washambuliaji wake, bado sijaijarib ila nahisi itakuwa moto ๐ฅ๐ View attachment 3358489
Hatoki tena kwenye position yake ๐ ๐ฅTony Adams inverted Midfielder inamfaa sana hii๐๐ซต
AChana na beki kisiki๐๐Hatoki tena kwenye position yake ๐ ๐ฅ
Dah we mkorofi sana๐คญ Razorblade ๐Tony Adams inverted Midfielder inamfaa sana hii๐๐ซต
Idea nzuri kwa CFSelikavu ,Razorblade ,NEGAN kuna siku tulikiwa na mada kuhusu Anchoring, kuna hii nimekutana nayo huko Telegram kwa huyu jamaa. Yeye huwa anaitumia kwa washambuliaji wake, bado sijaijarib ila nahisi itakuwa moto ๐ฅ๐ View attachment 3358489
๐คฃ๐คฃ๐คฃUnamchukuliaje inverted Midfielder kaka๐๐Dah we mkorofi sana๐คญ Razorblade ๐