Sema hayupo tuu๐๐Tumempa tayari๐
Aah kumbe ulikua unafanya undercover investigation kwanza๐๐๐๐๐Nimelud kuangalia kila kitu ni chako ๐๐
Sijui ilinipitaje hii na nimelud mara nyingi sana kufukua makuburiAah kumbe ulikua unafanya undercover investigation kwanza๐
Zamani game lilikua tactic full manual ila sasa hivi AI imeharibu vitu unacheza na noob anpiga pass kama mkongwe anasaidiwa kila kitu na AI.Kwamba zaman lilikuwaje naona pale unaset vitu vingi sana adi raha
Nimetoka kucheza na mtu friend match anatumia smart assist ๐nimejuta kucheza๐Zamani game lilikua tactic full manual ila sasa hivi AI imeharibu vitu unacheza na noob anpiga pass kama mkongwe anasaidiwa kila kitu na AI.
Zamani ukicheza division matches unaona ufundi halisi wa watu hadi una appreciate.
Oya Kaka acha tu.Nimetoka kucheza na mtu friend match anatumia smart assist ๐nimejuta kucheza๐
Kaka acha tuu kuna muda nilitaman niwashe na mimi nikakumbuka nimesema mpaka nijue gameOya Kaka acha tu.View attachment 3355679ona huyu nilikutana nae division pale. Jamaa hata kucheza mpira mzuri hachezi anabutua tu afu kilichoniuma zaidi vipasi vyake vya smart assist pale kachop ya kwanza akanifunga na BatiGoal ๐ซฉ nikapambania nimerudisha dakika za mwisho naongoza nashangaa tena kaotea mali BatiGoal tena duh , afu mi kila nikishambulia natoka hola alikuwa na yule Cech wa 99 ๐๐ซฉ๐
Hahaha mi kuna mechi kwa hasira niliwasha afu nikakosa goli 2 za wazi ambazo kawaida naweza kufunga ๐nikaenda kuizimaKaka acha tuu kuna muda nilitaman niwashe na mimi nikakumbuka nimesema mpaka nijue game
Hivyo vipasi vinauzi bhana maana kawaida mtu kabla hajapiga chop unakuwa ushakaba๐
Me nikiwa nayo sikosi mzee si unajua direction kipengele kwangu๐๐Hahaha mi kuna mechi kwa hasira niliwasha afu nikakosa goli 2 za wazi ambazo kawaida naweza kufunga ๐nikaenda kuizima
Kuna magoli ya kufosi sikuiz nimejifunza. Sasa yale smart assist hamna ๐Me nikiwa nayo sikosi mzee si unajua direction kipengele kwangu๐๐
Ngoja baadae tutaenda niyaone๐๐Kuna magoli ya kufosi sikuiz nimejifunza. Sasa yale smart assist hamna ๐
Ohoo ushawahi ona goli mpira unarudi kutoka nyavuni kipa ndo anaruka? ๐Ngoja baadae tutaenda niyaone๐๐
AseeeOhoo ushawahi ona goli mpira unarudi kutoka nyavuni kipa ndo anaruka? ๐
Kaka kamchukue timber akupigie kazi chafu hapo kwa Theo HernandezHumu tu ๐ฅ
View attachment 3356871
View attachment 3356872
View attachment 3356873
Namsubiri Victor Baia ili nimtoe huyo Donnarumma hapo, DG ndiyo nawaelewa ila bado najifunza kuwatumia vizuri.
Unajua mpaka leo sijajua nipite na nani pale, Timber si ni RB lakini?Kaka kamchukue timber akupigie kazi chafu hapo kwa Theo Hernandez
Booster zimeisha, halafu huyo hapo kakaa tu nikimpata naemtaka namtoa.Alafu messi anafika 102 booster yake nasikia ni Fantastia