Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Maelezo niliyokupa hukuridhika nayo ila nadhani kwa jibu hili umeelewa kwanini Adams nimempa anchoring ๐View attachment 3353723
NEGAN mkuu tusaidie maelezo mazuri hapa naona kila mtu kaelewa kivyake... Razorblade ndo kabisa hajatoka na kitu...
Hii Anchoring inafanyaje kazi??
Kazi yake mchezaji mwenye anchoring instruction ana baki kwenye position yake uwanjani hazururi kulia au kushoto ana make vertical movement tu(mbele nyuma) sio kulia kushoto.
E futhubAah shukran Mkuu๐
Alafu ile app ambayo inakupa stats za wachezaji ni ipi kaka niinstal hapa!!??
Nyie watani wa jadi๐Maelezo niliyokupa hukuridhika nayo ila nadhani kwa jibu hili umeelewa kwanini Adams nimempa anchoring ๐
Tumevunja utani kwa muda usiojulikana ๐Nyie watani wa jadi๐
Ndugu ChambuziMaelezo niliyokupa hukuridhika nayo ila nadhani kwa jibu hili umeelewa kwanini Adams nimempa anchoring ๐
Huyu saiv ni kama rivalry ya Man U na Leeds ๐คฃ๐คฃ๐คฃleeds yuko zake championship huko๐๐๐Nyie watani wa jadi๐
Kaka unakariri sasa, kwa hili acha nikae kimya ๐Ndugu Chambuzi
Adams siku hizi ni foward๐๐๐ugonjwa simu umeanza kukuingia na wewe kaka๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Instructions inafanya kazi kwa fowards mzee maana lengo lake ni wakati wa kushambulia sasa tony adams anakuwa inverted Midfielder ama๐๐๐๐
Sasa wakati wa kushambulia kaka position ya Tony adams inakusaidia nini wakati anakuwa nyuma ๐๐๐humpi pass sio counter target ndo maana nikakuuliza au anakuwa inverted Midfielder ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKaka unakariri sasa, kwa hili acha nikae kimya ๐
Nenda kasome tena hiyo instruction ya Anchor.
Nyie mnabishana na maelekezo yapo wazi ๐Kaka unakariri sasa, kwa hili acha nikae kimya ๐
Nenda kasome tena hiyo instruction ya Anchor.
Hamna kitu kama hicho ๐ hawawezi kufungia labda wadaiwe TiGo(Yas) ndo watamalizana na KONAMIBuku mbili kaka nimetumia 1600 leo nimechukua hiyo pack ya Man city wamekuja kunipa Rodri mwisho na Nimemunua Bellingham wa 800 kwa ajili ya kupata Nominating character zile za 5 nimebakiza mia nne๐๐๐nataka niende tena nikamchek jamaa anipe nyingine...
Sema nasikia konami wameanza kufungia walioiba kwa hiyo Id yangu ipo matatani๐๐
Huyo leo anakaza fuvu sijui kimemkuta nini ๐Nyie
Nyie mnabishana na maelekezo yapo wazi ๐
Muoga huyo ๐Hamna kitu kama hicho ๐ hawawezi kufungia labda wadaiwe TiGo(Yas) ndo watamalizana na KONAMI
Tatizo la papaa wembe hataki kunitambua mimi kama pro kwenye maswala ya analysis na formation building in Konami formerly know as PES ananichukulia mimi Amrabat sijui box to box๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNyie
Nyie mnabishana na maelekezo yapo wazi ๐
Aah sawaa mkuuHamna kitu kama hicho ๐ hawawezi kufungia labda wadaiwe TiGo(Yas) ndo watamalizana na KONAMI
Mbona Negan kasema ifanya kazi wakati wa kushambulia sasa wewe umempa beki ndo najiuliza Tony adams anchoring inamsaidia nini... Wewe umempa ili asipande mbele ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃukijua anakuwa Anchorman sijuiHuyo leo anakaza fuvu sijui kimemkuta nini ๐
Picha ya maelezo aliyoweka imejieleza, huenda hajui example ni nini ๐
๐Sawaa proMuoga huyo ๐
Kumbe hapa unapiga kelele tu na hata huyo NEGAN hujamuelewa, mimi kwangu inafanya kazi kama navyotaka.Mbona Negan kasema ifanya kazi wakati wa kushambulia sasa wewe umempa beki ndo najiuliza Tony adams anchoring inamsaidia nini... Wewe umempa ili asipande mbele ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃukijua anakuwa Anchorman sijui
Najua ila ulikuwa unanipa moto kaka hapo muda huo simu inanizingua kwahiyo nikaona na wewe unanizingua tu ๐Haijaisha mpaka iishe๐
Eniwei nothing serious kaka
๐คฃ๐คฃ๐คฃNishasema nipo na wewe mpaka wakuueNajua ila ulikuwa unanipa moto kaka hapo muda huo simu inanizingua kwahiyo nikaona na wewe unanizingua tu ๐