eFootball Special Thread

Rodri overall ni mzuri tatizo lake speed tu. Tchouameni hajui kuoiga pass. Kuhusu Tchouameni nahisi humuelewi sababu hana tight possession kubwa๐Ÿ˜…
Bora kukosa speed lakini kwenye pasi iwe unyama, kuwa namba 6 hainamaana kazi yake iwe ni kukaba tu ๐Ÿ˜‚

Rodri yuko bora, speed atatumia za kwangu ๐Ÿ˜‚
 
Bora kukosa speed lakini kwenye pasi iwe unyama, kuwa namba 6 hainamaana kazi yake iwe ni kukaba tu ๐Ÿ˜‚

Rodri yuko bora, speed atatumia za kwangu ๐Ÿ˜‚
Inategemeana na mchezo wako kama kwangu me Tchoumen anafit vzr kabisa na sioni weakness yake...
 
NEGAN partnership ya Orchestor na Anchorman ni ๐Ÿ”ฅ

Kama ulivyosema

Saiv nashangaa Guardiola akiwa na Rodri anazunguka uwanja mzima bila shida yoyote wakati akiwa na de jong waligawana pande๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ™Œ
 
Ndo unajua leo aisee, ukiwa na anchor man halfu CMF awe hole player, orchestrator au box to box, hapo ni burudani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ