Jamaa ana offensive awareness 84 mzee kila muda yupo mbele hata ukimpa instructions za Defensive ๐๐ me amenishinda nimelud kwa Trent tuu..Kwa mala ya kwanza napewa mtu wa maana
Kama unatumia back 5 ndio utamuenjoyJamaa ana offensive awareness 84 mzee kila muda yupo mbele hata ukimpa instructions za Defensive ๐๐ me amenishinda nimelud kwa Trent tuu..
Nataka nimpe train ya RMF anifae mbelen
Muwekee lb wako defensive instruction halafu Oddo muache free uone maajabu yakeJamaa ana offensive awareness 84 mzee kila muda yupo mbele hata ukimpa instructions za Defensive ๐๐ me amenishinda nimelud kwa Trent tuu..
Nataka nimpe train ya RMF anifae mbelen
Sawaa mkuuMuwekee lb wako defensive instruction halafu Oddo muache free uone maajabu yake
Itabid nijaribuKama unatumia back 5 ndio utamuenjoy
Ukimuwelea defensive instruction hapandi.Sawaa mkuu
LB wangu huwa ni Timber (Fullback Finisher lakin pale nampa Role ya CB kwahiyo CB Wanakuwa watatu na RB mmoja
Ila naona bado naye timber anapanda tuu๐๐๐
Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruUkimuwelea defensive instruction hapandi.
Formation ya nzuri back 3 cha kufanya mgeuze Timber awe kulia na Bastoni kushoto VVD kati sababu wana kasi la sivyo VVD atalambishwa mchanga hana speed๐Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruView attachment 3347564
Alafu kwenye instructions naweka hivi
View attachment 3347567
Razorblade
achana na Coin zangu zinamtaka Yaya toure hizo ngoja nifike 200๐ซต๐คฃ
Jichanganye coins zangu 300 zimeenda kwa yaya toure๐Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruView attachment 3347564
Alafu kwenye instructions naweka hivi
View attachment 3347567
Razorblade
achana na Coin zangu zinamtaka Yaya toure hizo ngoja nifike 200๐ซต๐คฃ
๐๐kwambq jamaa ana kiherehere ila attacking full back unataka akae nyuma kufanyaje, defensive wape CBJamaa ana offensive awareness 84 mzee kila muda yupo mbele hata ukimpa instructions za Defensive ๐๐ me amenishinda nimelud kwa Trent tuu..
Nataka nimpe train ya RMF anifae mbelen
Yaya toure wananipa nimeshamuweka wallpaper mizimu ya Konami kwenye spine imuione kabisa namhitaji๐Jichanganye coins zangu 300 zimeenda kwa yaya toure๐
Tangu nipewe Vardy na Konami nikajua kila siku ni jumapili
๐๐๐Me mfumo wangu napenda kukaba sana isipokuwa ninapocheza na timu Brazil yenye kocha wa Atalanta ๐ซต๐คฃ hapo nashambulia kama nyuki๐๐๐๐kwambq jamaa ana kiherehere ila attacking full back unataka akae nyuma kufanyaje, defensive wape CB
Hizi formation zingine ni kuukosea heshima mpira ๐Nitajaribu japo mwanzo niliwaza nije na hii formation kumpa uhuruView attachment 3347564
Alafu kwenye instructions naweka hivi
View attachment 3347567
Razorblade
achana na Coin zangu zinamtaka Yaya toure hizo ngoja nifike 200๐ซต๐คฃ
Katambike kwanza ๐Yaya toure wananipa nimeshamuweka wallpaper mizimu ya Konami kwenye spine imuione kabisa namhitaji๐
Mtesi wangu hapa razorblade nawaza kabla sijaspine niende nae room anifunge kama game tano ivi afurahi mambo kwisha kabisa Yaya toure mapema tuu saa 11 asubuhi kesho wananipa๐ซต๐คฃ
Sawaa mkuu nitafanya hvyoFormation ya nzuri back 3 cha kufanya mgeuze Timber awe kulia na Bastoni kushoto VVD kati sababu wana kasi la sivyo VVD atalambishwa mchanga hana speed๐
Formation kali sana hiyo ukikaa hovyo utakufa mikono miwili...Hizi formation zingine ni kuukosea heshima mpira ๐
Nipo naongea na Guilberto hapa ikiwezekana nimpe Id yangu aspine๐ซต๐คฃKatambike kwanza ๐
Nimeclear storage leo ila bado sijajaribu ๐Formation kali sana hiyo ukikaa hovyo utakufa mikono miwili...
Sema nipo Honeymoon sichez na wewe kaka๐คฃ๐คฃ๐ซต