Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Kipindi cha mpito namaanisha kile cha kupigika hovyo kila kona ๐Ndo maana hata sijapost kuna siku nikikikufunga najua hapa simu yake bomu hakuna kitu anafanya๐
Kipind cha mpito how?? Unabadili tambo au unapotea mazima
Pole sana na vile me sina fair kwako ni kuponda tuu๐๐๐ซตKipindi cha mpito namaanisha kile cha kupigika hovyo kila kona ๐
Oya hii simu siisemi vibaya kwa game mpaka dakika hii imenistiri ila ni changamoto, nilikuwa natamani kuforteit lakini hatujagusa muda nikaona bora tucheze tu.
Nakujua mbona na ndiyomaana sikuforteit ila sasahivi unajuajua ๐Pole sana na vile me sina fair kwako ni kuponda tuu๐๐๐ซต
Sichezi na wewe mpaka ubadili simu unaniharibia kiwango ๐๐๐Nakujua mbona na ndiyomaana sikuforteit ila sasahivi unajuajua ๐
Drogba wa pili๐ซต๐คฃView attachment 3347184konami nao๐๐
Ushenzi ni kwamba card moja ikipata red card ni wote๐คฃ๐คฃ๐คฃWanazingua au mmoja ndo akipata red card๐๐ฟ
Tafuta Booster token hizoNiuze tu chap๐
Hapo unamtoa mmoja ili upate selection booster ๐View attachment 3347184konami nao๐๐
Najua huwezi vumilia kuniona online na usitume invite ๐Sichezi na wewe mpaka ubadili simu unaniharibia kiwango ๐๐๐View attachment 3347172
Unafikiri wewe ni Epic kama nikiona tu na spine ๐ซต๐คฃsikutumiii mzeeNajua huwezi vumilia kuniona online na usitume invite ๐
Poa na ukituma nascreenshot halafu siingii ๐Unafikiri wewe ni Epic kama nikiona tu na spine ๐ซต๐คฃsikutumiii mzeeView attachment 3347313
Naku unfriend simple tuu๐คฃ๐ซตPoa na ukituma nascreenshot halafu siingii ๐
Ubaya ubwela ๐Naku unfriend simple tuu๐คฃ๐ซตView attachment 3347323
Kwann niteseka๐คฃUbaya ubwela ๐
Haya kazi njema ๐Kwann niteseka๐คฃ
Na kule Efootball natafuta namna nisiwe naletewa zile banners za Epic kwenye home secreen maana zinanichanganya๐๐