eFootball Special Thread

Pale kwenye pack ya Messi na Neymar pamoja na Torres muda wake unakaribia kuisha, target yangu ni kusubiri pack itakayokuja baada ya hizo.

Pia ikitokea kuna mchezaji nimemuelewa nitamchukua ila hapo kwenye epic hapana ๐Ÿ˜‚
nitahack account yako nispine zote๐Ÿคฃ๐Ÿซต
 
Nipe mkuu nikusaidie kuspine๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Mkuu kile kipindi cha mpito kwa sasa kinaishia ๐Ÿ˜‚, hongera kwa ushindi back to back.

Nakuheshimu mpinzani wangu uko vizuri ila endelea kutrain ๐Ÿด๐Ÿ˜‚, bila kisingizio game kwangu inalag sana lakini kwakuwa wewe ni mpinzani nacheza hivyohivyo ila takwimu naimani unazo.
 
Ndo maana hata sijapost kuna siku nikikikufunga najua hapa simu yake bomu hakuna kitu anafanya๐Ÿ˜ƒ


Kipind cha mpito how?? Unabadili tambo au unapotea mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ