eFootball Special Thread

Baada ya ile Account yangu ya kwanza kuwa ya kiwaki nimeona nianze kutengeneza kikosi cha pili leo nikaamka asubuhi nikadownload zang moch cloner nikapata app ya pili nikaanza kutengeza kikosi...

Sikutaka kufanya makosa Region nimeweka Japan si haba kwenye kuspine nikapata Bergkamp ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Hapo nangojea jumanne nimchukue na nakata kazi ianze๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ


Razorblade ๐Ÿ‘€ Jiandae nakuja mdogo mdogo na kikosi changu kipya ... Hichi ni kikali mno utakimbia kaka


Shukran za dhati ziende kwa Guilberto amenipiga tafu kupambana na events za Pvp ili nifike kiwango kinachotakiwa๐Ÿ‘

 
Ungechagua korea mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ