Haha mbona unajua sana tu mkuu.. mi labda nakuzidi pasi tu ๐Sio kama sitocheza kama Razorblade muoga muoga me nitaendelea kukutafuta mzee๐๐mpaka nijue game...
Ni safi tu Rais ๐Oya ma jobless niaje ๐
Mheshimiwa Aikaeli kwema kabisa kakaOya ma jobless niaje ๐
Hizo pasi mzee kama unatumia padi hukoseiHaha mbona unajua sana tu mkuu.. mi labda nakuzidi pasi tu ๐
Yangu after kumchukua OdoKumbe collective strength yangu imepanda aisee ila hiyo siyo muhimu sana kwangu ๐
View attachment 3343481
View attachment 3343483
Naona kumekucha, usingizi mtamu sana kudadadeki ๐Ni safi tu Rais ๐
Pole kwangu hupati maana nishakuonya ๐Mnipe pole kwanza kabla sijaanza kusimuliaView attachment 3343651
Coin 600 shwaa kwa Sablozai na nimetoka hola nimepewa wote standsrd๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hizo CB ningezipata mimi aisee ingekuwa unyama sana.Yangu after kumchukua OdoView attachment 3343652
Unausifia usingizi wa masaa matatu ๐Naona kumekucha, usingizi mtamu sana kudadadeki ๐
Tamaa mbaya kijana๐๐Hizo CB ningezipata mimi aisee ingekuwa unyama sana.
Kwakua ni za bure, haya endelea kuzimaliza halafu ije pack nzuri uwe huna coins ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃSikomi kenge hasikii mpaka atoke dam in NEGAN Voice
Sasa kwani huyo Tony anacheza nafasi zote ๐Tamaa mbaya kijana๐๐
Si una tony Adams kabisa
Wacha zako ๐คฃUnausifia usingizi wa masaa matatu ๐
Mimi kwa son nimepoteza nyingi tu๐คMnipe pole kwanza kabla sijaanza kusimuliaView attachment 3343651
Coin 600 shwaa kwa Sablozai na nimetoka hola nimepewa wote standsrd๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Gud kabisa kakaFresh, heshima yako Raisi