Si unaona game zao zilivyokuwa๐๐๐Hii mechi ya kwanza bana ๐๐๐ฅ dakika ya 11 nishakula chuma 3 sijui nilikuwa nazubaa wapi ๐๐
View attachment 3336576View attachment 3336577View attachment 3336578
Hii mechi ya mwisho nikagongwa chuma 2 bila ile kuchomoa zote jamaa akawasha full def bars ๐๐ฅ nikasema duh hapa ni kutumia nafasi tu mana nikipoteza ataniadhibu ipasavo
Ndo kama hivo nimeshinda 1 tu ๐๐
Huyo kazidi mkuu, walienda intergroup akapigika mwanzo wakawa wanamcheka ๐Kama Denzila kila group yupo anatafuta hela๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkuu umechanganga thread ๐Niko na who rules the world kali mno.
Unaona game zenu na Negan mnaoneana huruma๐คฃ๐คฃ๐คฃNiliiona nikakuonea huruma nikatoa mawinga ๐ ningekushambulia sana leo sema tu nikaamua kubalance nisishambulie kwa pembeni nipitie hapo hapo kati kwa hizo beki zako
Na wewe anakufaa nani?NEGAN anamfaa zaidi
Najua Sana, Sasa kule hakuna watu ๐๐Mkuu umechanganga thread ๐
Si umuite comrade wako ๐Najua Sana, Sasa kule hakuna watu ๐๐
Nimecheka kifala ๐Yule jamaa wa Fransisco totti italian Prince sema hayupo active tuu๐
Aliniwekea full blue siku nikimpiga ataelewa maana ya haram football ๐Vita ni vita... ๐
Hii tumeikataa wanaoneana huruma alafu wote wana mpira unafanana kias japo Guilberto ni Possession gameHaya kaxi ianzie hapa, kama mbwai mbwai tu ๐
Me nilienda na possession game nikafa nne first half๐คฃ๐คฃ๐คฃWewe una balaa mkuu unakaa na mali kama Barca๐๐
Mzee unachimbua ๐๐๐๐ sema mi game za kukamiana siziwezi labda ujae mwenyewe kwenye mifumo tuUnaona game zenu na Negan mnaoneana huruma๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Selikavu huyu tumpe nani?@yoyote nipeni ntakubari๐