Kazi imeanza๐๐Nimetuma request nasubiria kukubaliwa.. ila nimeona kwa juu pale masela zangu zaidi ya 7 wapo mule haha
Magroup yapo mengi halafu mengine watu wanajirudia.Nimetuma request nasubiria kukubaliwa.. ila nimeona kwa juu pale masela zangu zaidi ya 7 wapo mule haha
Hakuna cha mechi Mill broh ashamsumbua tayali yeye mwenyewe alisurrender๐๐Hamna zipigwe mechi kwanza ๐
Oya mnataka kuniua๐. Basi sawa natupa taulo kuanzia leo Gilberto mpinzani wangu๐
Huyu ni Selikavu kabisa ๐Kama vile ana fanya jambo la maana vile ๐ ๐ ๐
View attachment 3342499
Hakuna cha nini wala nini Mill bro na mimi nipo upande wake nimeshachagua๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHahaha mi napendekeza best of 3.. nitakaemuweza huyo huyo nitadeal nae ๐ ๐คฃ
Haya kazi ianzie hapa, kama mbwai mbwai tu ๐Oya mnataka kuniua๐. Basi sawa natupa taulo kuanzia leo Gilberto mpinzani wangu๐
Kama vile ana fanya jambo la maana vile ๐ ๐ ๐
View attachment 3342499
Duuh Hii ishu ya kukaa na mali na sishindi hata itabidi nianze kuiacha ๐ au nashinda sizidi 2Wewe una balaa mkuu unakaa na mali kama Barca๐๐
Negan tumepiga As whereSawa wakuu. NEGAN ๐ wamependekeza tuwe na derby aysee utakuwa unanifundisha kila siku naona
๐๐ duhWewe una balaa mkuu unakaa na mali kama Barca๐๐
Vita ni vita... ๐Vita yangu ni vita baridi na Mill broh ๐
Huyu ndo anakufaaa๐คฃ๐คฃHuyo sijamalizana nae, sema hii wiki sijacheza kabisa game nipo kwenye mitihani nitamrudia tu tumalizane ๐๐
Baaasi huyo huyo Mill broh ๐ sema tayari ana bifu na NeganNegan tumepiga As where
Negan mtaleta heshima๐๐๐
Game zenu mpka ukatoa mawinga maana uliona unamnyanyasa hizo haziwezi kuwa Derby mnaoneana huruma
Mimi juzi Razorblade kaja na neti yake mbovu kidogo nimfunge hamsa๐คฃ๐คฃ๐คฃnaona kabisa kasimama nakaba naenda kufunga
Yeye mwenyewe kashanipiga sita ๐๐
Namna hiyo...
Sasa mtu pekee ambaye atakuweza ni Mill broh๐คฃ๐คฃ
Kama Denzila kila group yupo anatafuta hela๐คฃ๐คฃ๐คฃMagroup yapo mengi halafu mengine watu wanajirudia.