Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Admin wa hilo group sasahivi analalamika anapigika hovyo na anasema hajawahi kukutana na hiyo hali hadi anataka kuacha kucheza game ๐Hizo fedheha sio poa ๐ unaanza na kufundishwa game hapo hapo 'kaza kaza game unajua mwanetu', 'jifunze kukaba', 'usipigepige mashuti tu', ' tunza coins uchukue kocha wa Quick' ...๐๐
Huku haifutiki sio๐๐Vita yetu ni huku ๐
Em screenshot jina la hilo group huenda nimo ๐Admin wa hilo group sasahivi analalamika anapigika hovyo na anasema hajawahi kukutana na hiyo hali hadi anataka kuacha kucheza game ๐
Na ukiwa na kikosi kikubwa halafu ukafungwa jiandae kusemwa pia ๐Wapo wengi sana mtu anaamini kikosi ndo kushinda๐๐
YouTube ndo kila kituMule huwa nachukua vitu muhimu tu hasa nikiwa nahitaji booster, sasahivi sijaomba booster kwa sababu kuna YouTuber namfatilia.
Inabidi tuwachonganishe na wengine zipatikane derby za kutosha ๐Huku haifutiki sio๐๐
Juzi kati nilikosa kazi nikaanza kusoma page ya kwanza ya huu uzi...
Owa vita vyangu me na wewe havijaanza leo mzee๐๐๐
Kwenda ChatGpt ulianza wewe mkuu mie nimefata nyayo zako ๐YouTube ndo kila kitu
Wewe umeenda extra unauliza hadi chatgpt
Si ndo huyo jamaa aliyenifunga akanifata inbox kuniuliza kama nashindga game yoyote ile...Kuna wale ambao akituma code ukipita nayo akikufunga anarudi na screenshot halafu anaweka na ujumbe ๐
๐๐๐Unafungwaje na kikosi kimejaa marehemuNa ukiwa na kikosi kikubwa halafu ukafungwa jiandae kusemwa pia ๐
Em screenshot jina la hilo group huenda nimo ๐
Hawawezi vita waliobakia wote watu poa me na wewe ndo team vitaInabidi tuwachonganishe na wengine zipatikane derby za kutosha ๐
Nataka na mi derby humu ๐Inabidi tuwachonganishe na wengine zipatikane derby za kutosha ๐
Friend match hawazingatii sana ils ukipigika kwenye ligi sass ndo utajua hujui ๐Si ndo huyo jamaa aliyenifunga akanifata inbox kuniuliza kama nashindga game yoyote ile...
Sema yupo group nyingine jamaa day one kanifunga akapost watu wakamuuliza league akasema friendly wakamshangaa๐๐
Mimi tena๐คฃ๐คฃKwenda ChatGpt ulianza wewe mkuu mie nimefata nyayo zako ๐
Aah hili mimi sipo, huwa nalisikia tu kwa majamaa
Ligi ya epl haipo damuni kwahiyo hata sina timu ila we jua timu ambayo siipendi kuliko zote epl ni Man U, mimi na wewe vita yetu ipo hispania tu ๐Hawawezi vita waliobakia wote watu poa me na wewe ndo team vita
Iv unashabikia team gan epl kama sio Chelsea wewe basi ni Arsenal ๐๐๐
๐Mimi tena๐คฃ๐คฃ
View attachment 3342495
Halafu humo nikiangalia aslimia kubwa ni wanafunzi wa chuo ndiyomaana wanachezea pesa za boom kununua vikosi ๐Aah hili mimi sipo, huwa nalisikia tu kwa majamaa
Hahaha, ndo kiburi chetu wengi ๐ afu mchezo wa kuazimana vikosi sanaHalafu humo nikiangalia aslimia kubwa ni wanafunzi wa chuo ndiyomaana wanachezea pesa za boom kununua vikosi ๐