Nilijua tu utaniona...Halafu katika moja ya magroup niliyonayo huwa naona jina la account yako(Myunani) likiomba friend match, namba yako haiishii 633?
Haha, huko huenda anajiita NailCutter ๐๐Nilijua tu utaniona...
Hiyo link ulituma wewe Humu ndani na nilivyoingia nikasema humu Razorblade yupo๐๐๐ nikaangalia pale username zilizopo nikakukosa nikasema okay atakuja tu kunisema jamii forum ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃHatumii Razor blade niliangalia jina lake la kule EfootballHaha, huko huenda anajiita NailCutter ๐๐
Halafu huwa sisomi sms maana zinakuwa nyingi mno sasa jana nikasema ngoja leo nisome sms moja moja ndo nikakutana na sms zako ๐Nilijua tu utaniona...
Hiyo link ulituma wewe Humu ndani na nilivyoingia nikasema humu Razorblade yupo๐๐๐ nikaangalia pale username zilizopo nikakukosa nikasema okay atakuja tu kunisema jamii forum ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkuu niache ๐Haha, huko huenda anajiita NailCutter ๐๐
Hawajambandika vipigo vyake huko? ๐Halafu huwa sisomi sms maana zinakuwa nyingi mno sasa jana nikasema ngoja leo nisome sms moja moja ndo nikakutana na sms zako ๐
Nimenyamaza mkuu ๐Mkuu niache ๐
Jina lililopo kwenye game ndo nilikuwa natumia ila siku za hivi karibuni nilimuazima mtu kwahiyo nikalog out kwenye hiyo simu, nilivyorudishiwa wakati wa log in nikaweka jina lingine.๐คฃ๐คฃ๐คฃHatumii Razor blade niliangalia jina lake la kule Efootball
Maana nalavyolilinda utazania free spine za konami๐คฃ๐คฃ
Mule friends match zinachezwa ila matokeo yanayotumwa sana ni ya ligi au wale wapinzani wa muda wote ๐Hawajambandika vipigo vyake huko? ๐
Hili group lake watu wana vikosiHawajambandika vipigo vyake huko? ๐
Si una vita na mimi mzee๐๐Halafu huwa sisomi sms maana zinakuwa nyingi mno sasa jana nikasema ngoja leo nisome sms moja moja ndo nikakutana na sms zako ๐
Nilisema siku utaomba match nitakuta li team lako room tuu๐๐๐Jina lililopo kwenye game ndo nilikuwa natumia ila siku za hivi karibuni nilimuazima mtu kwahiyo nikalog out kwenye hiyo simu, nilivyorudishiwa wakati wa log in nikaweka jina lingine.
Hahaha, kuna watu huwa wana dharau mno ๐ akichungulia tu kikosi chako anatoka room anaona kama hautompa challenge..Hili group lake watu wana vikosi
Kuna jamaa katuma codee me m
Nikapita nayo kuingia game mzee ana 3222๐๐ nikasema guy guy huu si ni ubakaji sasa Mungu saidia akatoka room mwenyewe otherwise ilikuwa ni week nakula
Huwa wanazingua wengine akiona aliyeingia room kikosi chake kidogo basi anatoka.Hili group lake watu wana vikosi
Kuna jamaa katuma codee me m
Nikapita nayo kuingia game mzee ana 3222๐๐ nikasema guy guy huu si ni ubakaji sasa Mungu saidia akatoka room mwenyewe otherwise ilikuwa ni week nakula
Vita yetu ni huku ๐Si una vita na mimi mzee๐๐
Mule huwa nachukua vitu muhimu tu hasa nikiwa nahitaji booster, sasahivi sijaomba booster kwa sababu kuna YouTuber namfatilia.Nilisema siku utaomba match nitakuta li team lako room tuu๐๐๐
Kuna wale ambao akituma code ukipita nayo akikufunga anarudi na screenshot halafu anaweka na ujumbe ๐Hahaha, kuna watu huwa wana dharau mno ๐ akichungulia tu kikosi chako anatoka room anaona kama hautompa challenge..
Sema mi nilikuja kuingia magroup ya Whatsapp nikiwa kidogo nishaanza kujipata kwenye game ila hizo fedheha naziona sana mule kwenye magrupu ๐
Hizo fedheha sio poa ๐ unaanza na kufundishwa game hapo hapo 'kaza kaza game unajua mwanetu', 'jifunze kukaba', 'usipigepige mashuti tu', ' tunza coins uchukue kocha wa Quick' ...๐๐Kuna wale ambao akituma code ukipita nayo akikufunga anarudi na screenshot halafu anaweka na ujumbe ๐
Wapo wengi sana mtu anaamini kikosi ndo kushinda๐๐Hahaha, kuna watu huwa wana dharau mno ๐ akichungulia tu kikosi chako anatoka room anaona kama hautompa challenge..
Sema mi nilikuja kuingia magroup ya Whatsapp nikiwa kidogo nishaanza kujipata kwenye game ila hizo fedheha naziona sana mule kwenye magrupu ๐
Me atakayejichanganya tuu nampigia kazi kesho ananicheki mwenyewe owaa tupandeHuwa wanazingua wengine akiona aliyeingia room kikosi chake kidogo basi anatoka.