Hilo hilo wame release patch mpyaInaitwaje hiyo
Nikipata nafasi nitakuomba mechi.Huwezi
Sija download, ila google Chrome lipoYeap, nipe code hizo
Nimeshadownload mkuuUki download tutacheza.
Tuache na kazi zetu๐๐๐
sawa kaka, kipaji hicho ๐คฃ๐Tuache na kazi zetu๐๐๐
Unyama mkuuNimeshadownload mkuuView attachment 3237201
Dls nime Anza kucheza 2017 /2018 nime weka rekodi na rekodi.Dls nalo uliacha๐๐๐ฟ
We unacho cha Pssawa kaka, kipaji hicho ๐คฃ๐
Kuna mshikaji anacheza hili, Ronaldo msimu anafika goli 115
Sasa inabid uanze kunipa madini sasaUnyama mkuu
Unanishawishi, ninalo ila kucheza mara moja moja sanaView attachment 3237247
Dream league Raha sana