Kenge hasikii mpaka atoke damu๐Meamka asubuhi nikakutana na Epic ya akina Rumminnegga tamaa ikaniingia nikasema nijaribu bahati๐ด๐ด๐ดcoin mia tano shwaaa
Hapa nipo naumia tuu...Kenge hasikii mpaka atoke damu๐
Rummenigge ni best CF in the gameHapa nipo naumia tuu...
Sema nimekutana na clip nyingi sana zinamsifia Rumminnega over Etto๐ nadhan hicho ndo chanzo
Kidonda cha kujitakia... ๐Meamka asubuhi nikakutana na Epic ya akina Rumminnegga tamaa ikaniingia nikasema nijaribu bahati๐ด๐ด๐ดcoin mia tano shwaaa
Haya tafuta coins zingine ukazitupe tena, hutakiwi kuchoka ๐Hapa nipo naumia tuu...
Sema nimekutana na clip nyingi sana zinamsifia Rumminnega over Etto๐ nadhan hicho ndo chanzo
Nimechoma coin konami wamegoma kunipaRummenigge ni best CF in the game
Nipe pole basi๐๐๐Kidonda cha kujitakia... ๐
Bila kuchoka kwa heshima...Haya tafuta coins zingine ukazitupe tena, hutakiwi kuchoka ๐
Hapo utachoma hata simu mkuu ila kukupa huyo roboti ni kwa huruma yao tu ๐Nimechoma coin konami wamegoma kunipa
We tafuta coins zingine ukazitupe tena hazina uchungu hizo ni zao unawarudishia ๐Nipe pole basi๐๐๐
Mwenye nacho ataongezewa, kuna watu wanabahati nyie halafu utasikia anasema nimespin kwa coins 100 tu ๐Bila kuchoka kwa heshima...
Jay kombat๐๐
Hawataki kabisa hawa jamaaHapo utachoma hata simu mkuu ila kukupa huyo roboti ni kwa huruma yao tu ๐
Nilivyozilinda kwa uchungu๐๐We tafuta coins zingine ukazitupe tena hazina uchungu hizo ni zao unawarudishia ๐
Acha tuuMwenye nacho ataongezewa, kuna watu wanabahati nyie halafu utasikia anasema nimespin kwa coins 100 tu ๐
View attachment 3338942
Tatizo nyie hamtaki kuamini kuwa mie nitazilinda coins zangu mpaka ziwe nyingi halafu ndo nitaanza kuzitupa sasa ๐Nilivyozilinda kwa uchungu๐๐
Kumbe utakuja kuzitupa๐คฃ๐คฃ๐คฃaya me nimeanza sasaTatizo nyie hamtaki kuamini kuwa mie nitazilinda coins zangu mpaka ziwe nyingi halafu ndo nitaanza kuzitupa sasa ๐
Nitazitupa kwa faida wewe umezitupa kwa hasara ๐Kumbe utakuja kuzitupa๐คฃ๐คฃ๐คฃaya me nimeanza sasa
Najua hujacheza mpira mzuri ila umemuonyesha kuwa unaweza kumfunga ๐Yule jamaa aliyesema kwa mchezo wangu kuna mtu namfunga tumeenda leo baada ya kuondoa uchovu wote kuisha๐๐๐sijawaangusha leo
Cc Razorblade mpira mzuri๐๐๐
View attachment 3339056
Hilo ndo kubwa yeye ni nano asifunngwe๐๐๐โNajua hujacheza mpira mzuri ila umemuonyesha kuwa unaweza kumfunga ๐