eFootball Special Thread

Edo kissy Naanza kujitafuta tena ile account wameniibia, unfriend ile account mkuu ๐Ÿ˜‚.

Nimetuma taarifa konami wameniambia inaweza chukua wiki 1 au 2 kunipa majibu.
 
Duuh wameibaje mkuu pole
Kuna watu wako serious sana hadi katika vitu vidogo kama hivi yani mtu kuiba account ya game imeniuma kwakuwa naanza upya ila imenifurahisha pia ๐Ÿ˜‚, nilijichanganya mwenyewe tu mkuu.
 
Kuna watu wako serious sana hadi katika vitu vidogo kama hivi yani mtu kuiba account ya game imeniuma kwakuwa naanza upya ila imenifurahisha pia ๐Ÿ˜‚, nilijichanganya mwenyewe tu mkuu
Sawa mkuu pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ