eFootball Special Thread

Kazi nzuri itabidi tufanye mpango wa Night Cup sasa ๐Ÿ˜‚
 
Sema humu ndani siku hizi ukikaa hovyo mkono huo
 
Humu ndani kushakuwa kugumu...

Game zangu na Razorblade ni kukamiana mwanzo mwisho ukifungwa jiandae maneno๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Game zidi ya NEGAN , Mill broh na Guilberto ukikaa hovyo umekula kuanzia mkono na kuendelea ukikaa vibaya unakula zako mikono miwili unatulia๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Game limekuwa vita no Vita Mula
 
Hakuna kitu unanitisha kaka sikai kwa kutulia na hakuna kitu utanifanya๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Alisikika marehemu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Binafsi nimejiona nakosa sana utulivu nikiwa uwanjani, ngoja nilifanyie kazi hili kwa siku 2 hizi nitakurudia ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ