Nakuambia hivi wewe umeisha mkuu bora nisingeijua hii formation ๐Umenisumbua kwa sababu bado nilikuwa na mentality ya possession game za before...
Kwamba mie hukuona nachofanya kwenye eneo lako au ulivaa miwani ya mbao, huu mfumo umenipa utulivu mechi za mwisho ๐Afu kumbuka nimekosa sana magoli leo๐ด
๐๐Kuna moja umepiga nje nilicheka sana๐คฃ๐คฃ๐คฃKwamba mie hukuona nachofanya kwenye eneo lako au ulivaa miwani ya mbao, huu mfumo umenipa utulivu mechi za mwisho ๐
Nataka nione maana mill broh nimemfunga kwa possession game nataka nione alitokaje na mwenye mchezo wakeHuo mstari wa mwisho ndo muhimu ๐
Katika mechi 3 za mwisho 2 ndo nimeona nimecheza na kutoa ushindani ila hii LBC sijui kwanini haitaki kukaa wakati ndo nilianza nayo game ๐
Na niliipania mechi sikutaka kuwa mchovu kama zile 2 za mwanzo ๐๐ฅ ilikuwa inaniuma unavyoyarudisha ๐Haina noma mtaalam sema ile come back. Aiseee kila nikizuia inashindikana๐
Wewe LBC huwezi hutumii long balls me ningekuwa na kocha ningekuoneshaKatika mechi 3 za mwisho 2 ndo nimeona nimecheza na kutoa ushindani ila hii LBC sijui kwanini haitaki kukaa wakati ndo nilianza nayo game ๐
Nilijaribu ๐๐๐Kuna moja umepiga nje nilicheka sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Taaratibu utakuwa mpiga nje wewe๐๐Nilijaribu ๐
Hamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..Umekutanan na full bars blue ๐๐๐
Sitaki LBC ya kutumia ndege nataka LBC ya pasi za chini.Wewe LBC huwezi hutumii long balls me ningekuwa na kocha ningekuonesha
Nikianza kupiga nje ntakuua ๐Taaratibu utakuwa mpiga nje wewe๐๐
Matokeo bila picha ni uzushi.Hamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..
nimekula mkono mara 2 ๐๐๐ฅ
Nimetuma hahaMatokeo bila picha ni uzushi.
Eeh imekuaje tena๐๐๐Hamna jamaa mzuri mno anajua kufunga kishenz na anatumia smart assist kukosa goli kizembe kwake ngumu..
nimekula mkono mara 2 ๐๐๐ฅ
๐๐๐Okay sawa kakaSitaki LBC ya kutumia ndege nataka LBC ya pasi za chini.