Raha ya game unbalance ushinde na ufungwe pia๐๐Leo sina mpango wa kucheza na wewe labda akosekane mtu, tukiingia room tunacheza mpaka tunajisahau kama kuna wengine wanataka friend match pia ๐
Nimempa leo torres striker instincts ๐๐jiandaeMi huwa kuna baadhi ya wachezaji nawatoa nawapeleka reserve ila kuna huyu wakumuita Lewandorsk na booster lake linapanda na kushuka ๐
Sheria iwekwe mechi 2 tu ๐Raha ya game unbalance ushinde na ufungwe pia๐๐
Amrabat kipara ๐Nimempa leo torres striker instincts ๐๐jiandae
Kaka naomba dakika 10 tu nakurudia kuna ishu nachukua dukani narudiSi ulikuwa na 3105 kaka kimetokea nini๐๐
Sawaa kaka hakuna neno...Kaka naomba dakika 10 tu nakurudia kuna ishu nachukua dukani narudi
Tatu... ๐Sheria iwekwe mechi 2 tu ๐
Huyo Amrabat nataka nijue possession game kwanza alafu aje sasa ataona๐๐maana nguvu simuwezi atakuwa anazungushwa tuu...Amrabat kipara ๐
Hatupo wenyewe humu ๐Tatu... ๐
Nitajie timu kubwa ambayo bado inatumia hiyo tactic kwa zama hizi ๐Huyo Amrabat nataka nijue possession game kwanza alafu aje sasa ataona๐๐maana nguvu simuwezi atakuwa anazungushwa tuu...
Ndo maana nakomaa na Guilberto master of possession game nikijua basi wewe tukicheza njoo na LBC Yako nakuja nA Possession game๐๐alo weee..
Japo possession game ya kingese wachezaji hawafungui mbele wanafata mali ilipo nimekula chuma nne huko game ya kwanza
Picha baadae๐๐
Pow mbili zinatosha ๐๐ila tatu unyama. Unashinda moja nashinda moja moja finalHatupo wenyewe humu ๐
Team ya Guilberto na Batistuta wake ๐๐(jokes)Nitajie timu kubwa ambayo bado inatumia hiyo tactic kwa zama hizi ๐
Afu yule kocha wa Possession sikuwa nimemtumia kama miezi minne saivi. Hizi wiki 2 hapa nimetokea kumpenda kila nikicheza hata nifungwe simtoi ๐Huyo Amrabat nataka nijue possession game kwanza alafu aje sasa ataona๐๐maana nguvu simuwezi atakuwa anazungushwa tuu...
Ndo maana nakomaa na Guilberto master of possession game nikijua basi wewe tukicheza njoo na LBC Yako nakuja nA Possession game๐๐alo weee..
Japo possession game ya kingese wachezaji hawafungui mbele wanafata mali ilipo nimekula chuma nne huko game ya kwanza
Picha baadae๐๐
Bastituta finishing yake ๐๐ฅTeam ya Guilberto na Batistuta wake ๐๐(jokes)
Barcelona, city
Hiyo siyo guarantee kwamba ndo itakuwa hivyo, nikipoteza au ukipoteza zote 3 je?Pow mbili zinatosha ๐๐ila tatu unyama. Unashinda moja nashinda moja moja final
Me possession game kuna kitu ambacho ni tofauti na mifumo mingine nimekiona siku hizi ngapi ninapocheza na watu wengine...Afu yule kocha wa Possession sikuwa nimemtumia kama miezi minne saivi. Hizi wiki 2 hapa nimetokea kumpenda kila nikicheza hata nifungwe simtoi ๐
Si inakuwa umejaa kwenye mfumo ๐Hiyo siyo guarantee kwamba ndo itakuwa hivyo, nikipoteza au ukipoteza zote 3 je?
๐
Sawaa kaka ngoja niboost hizi dakika 15 chajiAh sawa. Hapa enyewe nilikuwa natype turudi