eFootball Special Thread

Hivi kaka Selikavu Nini maana ya haya maneno chini ya Username zetu ๐Ÿ˜„

JF-expert member, senior member? Mana mi nilikuwa new member saivi nashangaa nimekuwa senior member afu hata sizielewi maana zake.
 
Hizo ni Rank kaka kuonyesha una muda gani Jf...

Rank inapanda kutokana na idadi ya comment unazotoa na likes au reaction unazopata... Ambazo zinakuongezea point

Ukifika points 2000 unakuwa Jf Expert member japo kuna wengine hata point 1000 unakuwa Jf Expert member
 
Ah hapo sawa. Nimekuelewa kaka mkubwa
 
Sisi wengine hatutaki kufatilia haya mambo simu yenyewe Samsung A05.

Hapo utaanza kulag wewe na simu yako. Hivi nyinyi mnatumia simu gani?
Sasa wewe unatumia Samsung A05 unalalamika je mimi ambaye game nimeweka kwenye OPPO A15(Copy)๐Ÿ˜‚
 
Sisi wengine hatutaki kufatilia haya mambo simu yenyewe Samsung A05.

Hapo utaanza kulag wewe na simu yako. Hivi nyinyi mnatumia simu gani?
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒNipo na kitunzia line sio simu
 
Twende me nataka nitest possession game๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Leo sina mpango wa kucheza na wewe labda akosekane mtu, tukiingia room tunacheza mpaka tunajisahau kama kuna wengine wanataka friend match pia ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ