Hapana anapanga mali.. vizuri tuu si umeona mechi zote kanioutplay kanizid kila kituSasa huyu anabutua au? Defensive bars anawasha zote mpaka friendly ๐คง
Duh nitajaribu nae nione hiyo playstyle yake ๐Hapana anapanga mali.. vizuri tuu si umeona mechi zote kanioutplay kanizid kila kitu
Friend match na ultra defensive mbona ngumu kumeza ๐Unaijua full blue wewe aka ultra Defensive ndo iliwashwa mzee me ningepita kwenda wap๐๐
Hatuchezi๐๐
Kuwasha ni nzuri sema unaonekana uko weak..Duh nitajaribu nae nione hiyo playstyle yake ๐
Kaka mpaka nimetumia possession game ndo nimeweza kubeat hiyo defensive alteast.. sio pow๐๐Friend match na ultra defensive mbona ngumu kumeza ๐
Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solidSasa huyu anabutua au? Defensive bars anawasha zote mpaka friendly ๐คง
Kuna msela wangu huwa nacheza nae ana mchezo kama huo, yeye kwenye kukaba mbovu ko anaingia na defence bar 1, beki na DMF 2 wale watatu wa mbele ni Mbappe, Villa na Vini ๐Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chuma๐
Naomba tuguse night mkuu .. au vipi?Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chuma๐
Wanataka kila mechi uwe serious ili usikubali kudondosha alama, kunazidi kuwa kugumu huko.Hatuchezi๐๐
Jipe muda wa kujiimarisha kwenye defense, ukiitumia hiyo sana huo udhaifu utakomaa zaidi.Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chuma๐
Uhakika hivi user name lako ipi?Naomba tuguse night mkuu .. au vipi?
heisGilbertoUhakika hivi user name lako ipi?
Sasa kati yangu na wewe nani hayupo vzr kwenye kukaba ๐๐๐achen utani bhana๐๐Sipo vizuri kwenye defense ndio maana huwa nafanya hivyo at least inakuwa solid
Lakini ndo hivyo nikikuotea chuma๐
Afu kuna sisi wabovu kote kote๐๐Kuna msela wangu huwa nacheza nae ana mchezo kama huo, yeye kwenye kukaba mbovu ko anaingia na defence bar 1, beki na DMF 2 wale watatu wa mbele ni Mbappe, Villa na Vini ๐
Jamaa huwa ananifunga magoli mazuri mno mbovu kwenye defensive lakini akishambulia sasa mzuri mno kufunga.
Iv hakuna anayejua kustream game TikTok ๐๐Naomba tuguse night mkuu .. au vipi?
Division sichez tena mpaka nijione nipo kamili na nikifika division one sitocheza tena kabisa...Wanataka kila mechi uwe serious ili usikubali kudondosha alama, kunazidi kuwa kugumu huko.
Haha, hamna mbovu kote kaka unaeza ukawa na u bora mahali tu.Afu kuna sisi wabovu kote kote๐๐
Kucheza Aviator๐๐๐napiga ndege mnoHaha, hamna mbovu kote kaka unaeza ukawa na u bora mahali tu.