eFootball Special Thread

Usimtie moyo kwann afe tano mara mbili๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Magoli nimekupa tu hayo, kwenye magoli matano kuna magoli manne ya boko ๐Ÿ˜‚

Narejea taratibu nikikaa sawa ipasavyo nitakubamiza kipigo ambacho kitabaki kwenye historia ๐Ÿ˜‚
 
Unataka unikamie sio๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ