Hamza siwezi kukupia ushakua monster kwenye kukaba๐๐๐๐Mbona kama unataka kunipiga hamsa kaka๐คฃ
Nakata over Bergkamp ana kila kitu speed, balance, kukaa na mali, pass, kicking power.Kati ya Nakata na Bergkamp unaenda na nani mkuu??
Huyu nitapita nae sasaNakata over Bergkamp ana kila kitu speed, balance, kukaa na mali, pass, kicking power.
๐๐Master wap kaka bado natoboka mnoHamza siwezi kukupia ushakua monster kwenye kukaba๐๐
Tabulele ๐
Anachonikera mimi yani yeye akilitazama goli tu anapiga shuti ๐Nimegundua jinsi ya kukufunga
Sitakiwi kucheza mpira mzuri dhidi yako kutumia mawinga sijui nini. Pia sitakiwi kupoteza mpira kati kati ya uwanja maana ukiupata mpira kati kati pedri/ De jong anapiga through ball moja kwa Torres/Mbappe/Owen kisha wana turn then boom๐.
Solution ni kutumia mipira mirefu na through ball kwa ma forward wangu pia ku overload forward kwa kutumia striker watatu ambao huwezi ku wa mark wote.
Tumfundishe wenyewe na sasa anatuletea kiburi ๐Oya mechi yote unatakiwa uwe active ๐๐
Anapiga na skill moves sasa hivi๐Tumfundishe wenyewe na sasa anatuletea kiburi ๐
Ananifanya nikiwa naenda nae uwanjani niwaze kuzuia kuliko kushambulia ๐Anapiga na skill moves sasa hivi๐
Nakushauri cheza formation kama yake 4222 ni formation nzuri sana ime balance kwenye kuzuia na kushambuliaAnanifanya nikiwa naenda nae uwanjani niwaze kuzuia kuliko kushambulia ๐
Shukrani mkuu ila usiwe na shaka hii formation nayotumia sasahivi itakaa tu, Selikavu mwenyewe anaikubali.Nakushauri cheza formation kama yake 4222 ni formation nzuri sana ime balance kwenye kuzuia na kushambulia
Na nikimpata Batistuta nitakuwa napiga nimegeukia popote๐คฃ๐คฃ๐คฃAnachonikera mimi yani yeye akilitazama goli tu anapiga shuti ๐
Kiburi gan๐๐mbona nafungwa kila siku humuTumfundishe wenyewe na sasa anatuletea kiburi ๐
Mkuu mkuu usinchomeshe kwa Rival wangu...๐๐๐Anapiga na skill moves sasa hivi๐
Wewe mbona tunaendaga toe toe wote๐๐Ananifanya nikiwa naenda nae uwanjani niwaze kuzuia kuliko kushambulia ๐
Anaiponda huyo hawezi cheza....Nakushauri cheza formation kama yake 4222 ni formation nzuri sana ime balance kwenye kuzuia na kushambulia